kupitia katika vipindi vyake vinavyorushwa na chanel ten television,mara kadhaa anaonyeshwa akiwa na press conference.
Miongoni mwa yanayonifanya kujiuliza swali hili ni pale anapojitwika utabiri...
Jamani ndugu zangu viongozi wa Jiji la Mwanza nawaombeni fikirini nje ya boksi na anzeni sasa ujenzi wa barabara mbadala wa zile kuu ziendazo Musoma, Shinyanga na Uwanja wa ndege. Nionavyo mimi...
WILL IT BE JOYFUL OR SADNESS AS SERENGETI ROAD CONSRTUCTION SET TO BEGIN?
FINALLY the construction of the much awaited Makutano-Juu- Mto Wa Mbu highway that will link residents of Mara and...
Mwenzenu najitahidi kuelewa lakini sipati lolote ninalollifahamu kuhusu huyu mzee. kama mtendaji wa serikali nilitegemea kumsikia kila siku au pengine kila baada ya siku moja. lakini cha ajabu...
Vijana ni tumaini pekee na asset kubwa kwa taifa hili linalo ota siku moja litakuwa na wa2 wenye maisha bora na kuwa taifa la kuigwa ulimwenguni.
Vjana wanasiasa lazima wajihoji kwann wapo kwenye...
Wakati mwingine huwa najiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nimeshuhudia raia wa kiandamana ili kueleza hisia zao juu ya matatizo yanayoendelea lakini wanaishia mikononi mwa jeshi la polisi...
Ujumbe huu nimeupokea kwenye barua pepe toka kwa mdau anayeshiriki zoezi tajwa hapo juu na haya ni maelezo ambayo nadhani ni vyema kwa sisi wahusika kuyafahamu au kuwafahamisha ndugu, jamaa na...
Wanajamvi,
Kwanza habari za mwaka mpya?
Ni kwa takribani mwezi mmoja sasa maduka ya mfanyabiashara maarufu mkoani Kagera-Bukoba (Dr.REMI) yamefungwa na hayatoi huduma.
Mfanyabiashara huyu...
Hili nalo linahitaji mjadala. Kumbe ukiwa unaishi katika nyumba kama mpangaji maafa yakitokea mfano mafuriko, serikali haikutambui. Inamtambua mwenye nyumba tu. Wapangaji wote waliokuwa wamepanga...
WANANCHI WACHANGAMKIA MAFUTA KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA
Wananchi wakigombea mafuta eneo la ajali
Askari polisi wakiongozwa na mkuu wa kikosi cha upelelezi wilaya Tedy...
Kutoka chanzo kilicho rasmi ile Hotel maarufu sana jijini Mwanza iitwayo Nyumbani hotel Resort iliyopo jengo refu kuliko yote jijini Mwanza imefungwa rasmi jana! :shock: Mwenye data zaidi ashuke hapa!
Sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunahitaji katiba itakayozuia kuwepo na mtu ajiitaye Rais wa JMT. Bali ndani ya katiba tunahitaji Mfalme au Ceremonial President ili awe...
tatizo la hii nchi nasikia hata shetani anatuone wivu ndio maana hata wenye akili kawafanya wajinga, huwa najiuliza inamaa watu wote wanaomzunguka muheshimiwa ni wajinga kama yeye au zaidi yake...
Hbr zenu wana jamvi.
Naombeni namba za simu za hawa wafutao,za kuongea nao moja kwa moja.
DR JAKAYA KIKWETE
Dr ALY Bilali
PM Peter Pinda
Mkurugenzi wa TISS
GENERAL MWAMUNYANGE
Habari wana jamvi. naombeni ushauri.im a single mum,My daughter is 3years old, nataka kumpeleka shule ya bweni kindergaten.Mnanishaurije?Sababu ya msingi, naishi bush(kikazi), hakuna shule nzuri...
Swala la maadili limekuwa tatizo sugu sana katika jamii ya kitanzania,licha ya taasisi mbalimbli za dini na zisizokuwa hizo kulikemea.
kwa watu muishio Dar es salaam hili litakuwa si jambo geni...
Hii website ya usajili kwa wahandisi vipi tena??sijajua ni muda gani hili tatizo tangu lianze bt kwa upande wangu ni wiki nzima sasa kila nikiifungua inagoma with an error msg....e bana eeh...
Natoa hongera kwa rais wetu JK kwa teuzi za hivi karibuni hasa kwa watu hawa Mabalozi Nyanduga, Grace na Naibu katibu Mlawi. Teuzi hizi ni halisi sana kwani zimewapa watumishi wa umma moyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.