Mtatiro kamleta mtoto wake, Seif je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro kamleta mtoto wake, Seif je?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Jan 8, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jana kwenye Mkutano Cuf ,Mtatiro alimupandisha mtoto wake jukwaan kujibu hoja kuwa ni mtu mzima huku akiwa amemfukuza Mke wake
   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwenye mkutano huo huo Seif alisimama bila kumleta mtoto wake japo kuna watu wa nasema yeye hana mke wala watoto kwasababu....!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ana uhakika kwamba mtoto ni wake? Amepima DNA?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280

  Vp jamaa anamatatizo nini ofisini?
   
 5. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Miaka ya Nyuma pale StarLight hotel kuna kumbukumbu nzuri kuhusu wale watu watatu...Seif anajua alivyo okolewa
   
 6. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Seif na Jussa ,wamekaiponda Chadema akisema ni Chama cha Masultan na kwemba kinaongozwa na Mtei.
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi bara kuna Masultan?
   
 8. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Pale starLIGH aliokolewa ,tukio la Cameruni.Akina mama wanamkimbia hadi sasa.Hana watoto wala charge
   
 9. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kilitokea nini kwenye hyo hoteli tujuze wengine hatujui?
   
 10. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ina maana naye Maalim Seif anapakuliwa kama kina Mbatia wa NCCR?
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nini tatizo kwa viongozi wa CUF.Nili
  sikia na Lipumba naye HANA mke.
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ulishawahi kumuona mke wa lipumba kwenye kampeni akimsaidia mmewe yaani hawa cuf wanacameruniana
   
 13. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mwamakula, bado umeniacha njia panda. Ni yeye Seif waliyekuwa wanamkameruni hata njemba kuja kumsaidia alipozidiwa? Na ndiyo sababu wakinamama wanajua si riziki.
  Au alikuwa anamkameruni/alitakakumkameruni jamaa sasa valangati likasababishwa kutokana na tabia yake hiyo? Nao wakina mama wanamkimbia kwasababu wanajua bana "SAWA SAWA" anapenda kujiexpress himself mwanzo mwisho.
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh hii topic ina mambo mazito sana.
   
 15. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  we ushawhi kumuona mke wa mboe,mtei au mzee makani au wa mzee john cheyo, we unafkir hat jk.nyerere alikuwa anmtanguliza mkewe kila sehem?kwa uzoef wangu nyie wenye tabia ya kuuliza wake wa wanaume wenzen huwa mna tabia ya kukamata ukuta kwa viganja vya mikono yenu!
   
 16. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Astaghafillah wakosa adabu ukuta unashikishwa wewe, hapa nimeongelea kuwatanguliza nimesema wake zao kuonekana wakati waume zao wako kwenye kashikashi za kampeni nenda kanywe maziwa
   
 17. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Seif hawezi kukemea Ushoga
   
 18. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sawa!Sawa!Sawa sawa!!Shika ukuta sawa sawa!!
   
 19. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hoja ni kwamba kuzaa mtoto ni dalili ya ukubwa?Pia kuambiwa kuwa wewe mtoto inamaana huna umri mkubwa?
   
 20. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kikwete alizaliwa 1953 na Lowasa alizaliwa 1954. Nyerere alimwambia Kikwete mtoto lakini akamwambia Lowasa ni Mwizi!
   
Loading...