NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI-Agrey Mwanri aisee huyu jamaa ni kiboko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI-Agrey Mwanri aisee huyu jamaa ni kiboko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Jan 8, 2012.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Duh nimekuwa nikimfatilia huyu waziri kwa kweli anafanya kazi hana jina sana Serikalini lkn ni mchapa kazi sana!big up kaka endelea kuvumbua maovu!!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  WOW. . . Kumbe Aggrey Mwanri kawa naibu waziri?
  Hongera zake kwa kweli.
   
 3. u

  ugaibuni Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa video ya tukio hilonenda kwenye Channel ya Ughaibuni.com

  [video]http://www.youtube.com/user/ugaibuni?feature=mhee[/video]
   
Loading...