Nawatakia maadhimisho ya miaka 3 ya uhuru wa tanganyika na miaka mingi ya utumwa mamboleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia maadhimisho ya miaka 3 ya uhuru wa tanganyika na miaka mingi ya utumwa mamboleo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Dec 5, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Watanzania;

  naomba niwe muwazi, sipendi muungano, naona ni unyonyaji na kurudishana nyuma, natamani tungekua huru bila zanzibar... uhuru tulioupoteza mwaka 1964; tanganyika ni taifa lililoishi miaka mitatu tu na kutumbukizwa kwenye chupa kutokana na ndoto njema ya waasisi, bahati mbaya watekelezaji wa sasa wamefanya nchi iwe kama ndoa ya mitala

  SIPENDI MUUNGANO NA SIAMINI KAMA TUNA MIAKA 50 YA UHURU, KIBAYA ZAIDI NI UFUJAJI WAKATI TUPO LEVEL MOJA NA AFGHANS KWENYE KUTEMBEZA BAKULI DUNIANI
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  Mkuu, miaka 3 ya uhuru wa Tanganyika?!? I thought ni miaka 50?!?
  Au kwavile Tanganyika "ilikufa" mwaka 1964?!
  Kama haupendi muungano, then hiyo notion ya miaka 3 inakua ngumu kueleweka!!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tanganyika iliishi kwa miaka mitatu tu ikiwa nchi huru
   
Loading...