Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

On a serious note............. uchafu ni tabia mbaya, na hili si jukumu la serikali pekee In Pictures: The World's 25 Dirtiest Cities - Forbes.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya maandamano yasiyo na Kikomo,rais wa Nigeria amesalim amri kwa kupunguza bei ya mafuta,ambapo kwa sasa yanauzwa dola 2 kwa galoni,punguzo hilo ni la 30%,Jonathan amelihutubia taifa leo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habr zenu wana Jf, samahani kama nimekosea jukwaa! nilitaka mnijuze, ni brad gani bora ya friji. Sokoni kuna brand nyingi siku hz, sanyo, hitach, whilpool, samsung, lg, boss na nyinginezo. Naomba...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wanabodi, Rais Jakaya Kikwete, ameahidi kuwatangaza wakuu wapya wa wilaya ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo!. Rais Kikwete ametoa tip hiyo wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waungwana nisaidieani mwenzenu sielewi kabisaaaaaa.... Hivi kutafuta vazi la taifa la Tz mwaka 2012 si sababu tosha ya kuwaburuza mahakamani mawaziri wote waliopita waliopewa dhamana ya utamaduni...
0 Reactions
5 Replies
990 Views
kwa mujibu wa taarifa za ukuaji uchumi duniani 2012 uchumi utakua kwa kasi ndogo ya 3.2% . na utaongezeka kidogo kwa 3% hadi 5% kuanzia 2013 hadi 2016, ili kukabiliana na hali hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Hili jambo limeshajadiliwa sana humu (kutokana na ile list ya kampuni zinazoongoza kulipa kodi n.k.), lakini serikali hii sikivu haikusikia. Sasa hawa Forum Syd (wazungu kutoka...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
na Happiness Katabazi RAIA wa Nepal, Ashok Kumar Khadka, na wenzake, anayetuhumiwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni video maalumu kwa wale wote walioanza kuweka vimaneno vya kishamba humu ndani. Sintawataja ila wanajijuwa na wanafahamu kabisa hayo maneno wameyaandika wapi. Wamekuja na vijiswali vya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wenzetu Wachina leo walikuwa na sherehe ya kuukaribisha mwaka wao mpya pale katika viwanja vya mnazi mmoja. Hakika kulikuwa na umati mkubwa sana wa Wachina utafikiri ni watu wa asili wa nchi hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inafurahisha kuona kijana kama Paul Mashauri Rais wa East Africa speakers Bureau jinsi alivyoweza kulielewa tatizo la nchi yetu. Amefafanua kwa kina majukumu ya kila asasi ktk kumundaa mTanzania...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Leo ndio zoezi hilo linafanyika hapa ukumbi wa Gandhi. Kinachoendelea ni vurugu tu. Majina ya watumishi yamebandikwa ukutani na inabidi kila mfanyakazi akague kama jina lake lipo katika orodha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani. 1. Uchumi wa nchi kuyumba sana. 2. Shilingi ya TZ kupoteza thamani zaidi dhidi ya US dollar. 3. Mfumuko wa bei ambao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka 2009 kuna hiki kitu kinaitwa Kilimo Kwanza kiliibuliwa baada ya kubuniwa na kuhubiriwa sana na wanasiasa kuwa kitakuwa mkombozi wa watanzania kwenye chakula na kipato,lakini mpaka sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani ni kuomba tu ushauri wenu kuna rafiki yangu alipata kazi huko kigoma kafanya miezi sita kaacha akaja dar kafanya kazi private akafungiwa mshaara kule sasa kaomba kazi upya kapangwa mbeya ni...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Hebu tafakari kuhusu baadhi ya matukio yaliyotokea kuhusiana na matumizi ya raslimali za taifa changa kiuchumi duniani (Tanzania) Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru Tanzania bara (Tanganyika)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Keneth Goliama RAIS Jakaya Kikwete jana alipokewa kwa mabango na vilio kutoka kwa wakazi wa Mabwepande walioondolewa kwenye maeneo hayo ili kuwapisha waathirika wa mafuriko, Dar es Salaam.Kilio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MWANAUME mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika vurugu za wananchi zilizotokea katika Kijiji cha Wegero, Musoma Vijijini. Vuguru hizo zilitokana na wananchi kuwashtumu polisi kwamba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shikamoni wana JF. Sad & Fact. Ule mchezo wa maharamia kuiba kwenye magari ya watu ulioshamiri sana Mlimani City, sasa umepiga kambi Dar Airport.Kumekuwapo matukio kadhaa ya watu kulizwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iwarejeshe kazini wenzao 229 waliotimuliwa Waziri wa Afya na Utawi wa Jamii, Dk Haji Mponda Chama cha Madaktari Nchini (MAT), kimetoa saa 72 kwa serikali kuhakikisha madaktari waliotimuliwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom