Rais Goodluck jonathan apunguza mishahara ya wafanyakazi

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
kwa mujibu wa taarifa za ukuaji uchumi duniani 2012 uchumi utakua kwa kasi ndogo ya 3.2% . na utaongezeka kidogo kwa 3% hadi 5% kuanzia 2013 hadi 2016, ili kukabiliana na hali hiyo RAISI G JONATHAN wa Nigeria amewapunguza mishahara watumishi wote wa umma kwa 25%
 
hata mimi sikubali............... kamshahara kangu alivyo kadogo vile halafu kafyekwe kwa 25%??................... aulize kinachoendelea kwa mu7 kwanza ndio apate akili kichwani mwake...................
 
bora huyu aliyeamua kupunguza kwa watumishi wote wa umma.hope wabunge na mawaziri wake watahusika.... siyo huyu wa kwetu amepandisha mishahara ya wabunge pekee.....
 
Back
Top Bottom