Ushauri jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DAVIES, Jan 16, 2012.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Jamani ni kuomba tu ushauri wenu kuna rafiki yangu alipata kazi huko kigoma kafanya miezi sita kaacha akaja dar kafanya kazi private akafungiwa mshaara kule sasa kaomba kazi upya kapangwa mbeya ni daktari sasa anataka kwenda kuripoti je haitaleta usumbufu maana hadi sasa anashindwa kufanya maamuzi hebu mnisaidie ili ni mwambie la kufanya nawasilisha kwenu
   
Loading...