Wizi wa kwenye magari mlimani city wahamia airport Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa kwenye magari mlimani city wahamia airport Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kande kavu, Jan 16, 2012.

 1. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shikamoni wana JF.

  Sad & Fact.

  Ule mchezo wa maharamia kuiba kwenye magari ya watu ulioshamiri sana Mlimani City, sasa umepiga kambi Dar Airport.Kumekuwapo matukio kadhaa ya watu kulizwa na hakuna dalili ya mambo haya kukomeshwa badala yake yanakita mizizi.Mbaya zaidi wanaintelejensia wetu (Polisi), wanaopangwa kupiga doria kwenye parking ya magari, wamekuwa wakijishughulisha na kuomba omba pesa kwa abiria wanaowasili badala ya kufanya shughuli inayotufanya tulipe kodi.Wahusika wa usalama maeneo hayo kama mmo JF mrekebishe kasoro hiyo.Ni noma ninapokuja kupokea wageni wangu, kuja na mlinzi wangu.TOYOTA DUET is very expensive ebo !!

  Nimekabidhi kijiti.
   
Loading...