hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha...
Kuna makabila mengi Tanzania bado wana mila na desturi mbaya; na kuna watu bado hawataki kuacha destruri na mila hizo. Napenda kuwafahamisha kuwa si lazima kuwafuata wazee wako walikuwa wanaamini...
Hatimaye Chama cha Wananchi (CUF) kimethibitisha kupokea taarifa ya wito wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, inayowataka kufika mahakamani hapo Januari 19, mwaka huu, kujibu...
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amesema msafara wake alipokuwa ziarani Geita kupita kwenye mgodi wa Geita Gold Mine (GGM) Ijumaa...
Bank ya Nmb tunaomba muwape Ambassadors wenu vyeti pindi wanapo maliza Muda wao. Kwani interview nyingi zina demand waoneshe validity ya wao kuwa ma ambassador wenu.pia kwa mfano mi ni mdada si...
Nimekuwa nikijiuliza sana kuna uhusiano gani wa kifo na miezi ya mwisho wa mwaka yaani kuanzia mwezi wa 10-12 watu wamekuwa wakifariki kwa kasi ya ajabu.Nikafikiria labda sababu ni miezi ambayo...
kisa na mkasa cha mwaka champata Maggid MjengwaNdugu zangu,Hizi si habari njema. Juzi alhamisi kunako saa kumi na mbili na nusu asubuhi nilipatwa na balaa la barabarani.Ilikuwaje? Niliondoka...
Ni zaidi ya msiba
....tulishirikiana kwa kila hali, ninasitisha kila kitu kwa ajili ya kuhitimisha safari ya mwisho ya dada yetu mpendwa.
bila shaka mazishi yatafanyika kwa mkuya ifakara mjini...
kuna kitu nashindwa kuelewa!juu ya hizi nafasi za maafisa uhusiano wa makampuni ya simu hapa nchini! Leo yupo tigo,kesho utasikia yupo airtel,kesho kutwa utasikia yupo voda!ni full kubadilishana...
Ndugu zangu, nimelazimika kusikiliza latin sombre himn...panis angelicus kumkumbuka mbunge wetu mh. Regia, ni mimi niliyeuliza lile swali la kuendesha gari na hali yake ile ...naomba radhi timing...
Wakuu,maeneo ya mbagala na kijichi watu wengi wameunguliwa na vyombo vya ndani kutokama na Tanesco kuzima na kuwasha umeme mara kadhaa jana.Pia pamoja na watu wa maeneo hayo kuonja ukali wa garama...
Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo...
BOMOA BOMOA ILIYOENDESHWA na askari wa kiongozi wa kidini Josephat Mwingira USIKU wa kuamkia jumapili, umekiacha kiwanda katika uharibifu mkubwa wa mali. Kiwanda hiki kinapatikana karibu na SUMA...
Jamani hii hali ya wananchi kuwa wanaingia migogoro na vyombo vya ulinzi na hata sasa kufikia hatua ya polisi kuwauwa raia sio halia njema hata kidogo inabidi utaratibu wa kuongea na wananchi...
Taratibu ya Trafiki kukagua gari mara tano au zaidi kwa safari isiyozidi 200 km ni usumbufu mkubwa(Trafik check kibaha,mlandizi,chalinze,mikese, morogoro round about) Gari ndio zile zile ,ukaguzi...
Kila mwaka aliyekuwa mnajimu na mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein alikuwa akifanya utabiri. Mwaka huu Januari 13, mrithi wa kazi zake Maalim Hassan Yahya Hussein...
Mwaka jana kipindi kama hiki mjadala juu ya kikombe cha babu wa samunge ulitawala katika vyombo mbalimbali vya habari na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nchi walifurika katika kijiji cha...
Kwa maoni yangu,kuna haja ya kuanzishwa somo toka elimu ya awali ambalo litajenga tabia ya kujiudhuru(kuresign)pale panpokua na utendaji mbovu,ukiukwaji wa misingi,sheria na kanuni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.