Miaka 50 ya uhuru still no vazi la taifa!?... Mungu wangu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru still no vazi la taifa!?... Mungu wangu!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kanguni, Jan 16, 2012.

 1. K

  Kanguni Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana nisaidieani mwenzenu sielewi kabisaaaaaa.... Hivi kutafuta vazi la taifa la Tz mwaka 2012 si sababu tosha ya kuwaburuza mahakamani mawaziri wote waliopita waliopewa dhamana ya utamaduni? kwa nini hatukutafuta vazi la taifa miaka ya 60 huko?.. kama zipo sababu za msingi nisaidieani pliz... aaah sisi bwana...
   
 2. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bado sijaelewa mantiki ya kuwa na vazi la taifa,kwanza tunatakuwa na vazi la taifa ili iweje??,litasidia vipi katika kukuza uchumi?,cha muhimu ni kutunza utamaduni wetu na sio hadithi ya vazi la taifa.....kwanza ni upotevu wa pesa tu kuhunda tume ya kuandaa vazi la taifa baada ya miaka 50 ya mkoloni kuondoka katika ardhi ya wana watanagnyika,
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Haina maana yoyote
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  lina umuhimu gani hilo vazi?
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  vazi la taifa ni ugali au umeme?....
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi hamjui kuwa hii nayo ni njia tu ya kula kodi zetu!
   
Loading...