Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkwele, Jan 16, 2012.

 1. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Kikwete imesababisha yafuatayo toka alipoingia madarakani.

  1. Uchumi wa nchi kuyumba sana.

  2. Shilingi ya TZ kupoteza thamani zaidi dhidi ya US dollar.

  3. Mfumuko wa bei ambao haujawahi kutokea.

  4. Udini kushamiri.

  5. Ufisadi kuongezeka zaidi.

  6. Ongezea sababu nyingine zilizosahaulika........

  Wanajf ni mtazamo tu, naomba tusitafutane.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Give a dog bad name to kill it!
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  7.mfanyakazi kutothaminiwa
  8.wizi kuonekana ni ujaja ndani ya jamii.Angalia akina lowasa wanavyotamba na akina RA
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  vibwagizo, vina na nyimbo zilezile ungebadilisha na chorus basi tumechoka wimbo huu umeimbwa miaka sita sasa
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jmatatu tusianze na stress week itakuwa ngumu sana!:nerd:
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hivi huyu bwana JK hana hata zuri moja au yeye ana mabaya tuuuuuuuuuuuuuuu. Hata kama ni kukosoana basi hii aina mpya ya kuzungumzia mabaya tu ya binadamu chimbuko lake likiwa Tanzania
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ushauri.
  Jitahidi kufuatilia yanayotokea dunia nzima ndio utaelewa vyema.
  Usipende kukurupuka na kurusha lawama waati hujafanya utafiti wa kutosha.
  OTIS
   
Loading...