TUMEJARIBU, TUMEWEZA NA TUTAFANYA ZAIDI, tanzania ni ya 12 kwa uchafu

Nimeicheki list juu juu, nimeona Baghdad, Dhaka, Antananarivo, Libreville, Mumbai miksa Port au Prince... Ila kiboko ni mji wa huko Arzebaijan.
 
Nadhani dar ndo inaongoza kwa
uchafu kwa kweli
make ni kawaida kabisa
miferji mitaani
kutiririsha maji
machafu
viwanda jiji hili
mala kibao wanatiririsha mimaji
ambayo ina madhara kwa binadam
machemba ya mavi
jiji hili mhhhha!!!!!! Mvua ikinyesha dk 5
mimavi inakatiza mtaani
usiku watu ndo wanatupa taka zao hata milangoni mwa wengine,hata yale magari ya manispoaa
kuna mahali kwenye masoko na vizimba vyake hayapiti kunarundikana taka mpaka basi,na mda mngine magari yenyewe ni takataka,mabov sana
 
Back
Top Bottom