Raia wa kigeni mbaroni wakiuza watu Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raia wa kigeni mbaroni wakiuza watu Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Jan 14, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [TABLE="width: 879"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]

  na Happiness Katabazi


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]
  RAIA wa Nepal, Ashok Kumar Khadka, na wenzake, anayetuhumiwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

  Mbele ya Hakimu Mkazi, Aloyce Katemana, Mwanasheria wa Idara ya Uhamiaji, Patrick Ngoyomela, alidai kuwa mbali na mtuhumiwa huyo kufikishwa mahakamani, washtakiwa wengine ambao ni raia wa India na Nepal ni Hasnein Kamrudin Osman, Kamal Gautama, Adhikar Did Natu, Rama Prakash Paudel, Atmaram Ghimire, Sibnath Bag, Mohamed Ridzwan Khan.

  Wakiwa mahakamani hapo, wakili wa Idara ya Uhamiaji Ngoyomela alishindwa kuwasomea mashtaka yanayowakabili washtakiwa hao kwa sababu walikuwa hawafahamu lugha ya Kiingereza, hivyo endapo angewasomea mashtaka hayo wasingeelewa.


  Ngoyomela alimuomba hakimu huyo aahirishe kesi hiyo hadi hapo atakapopatikana mkalimani wa kutafsiri lugha ya watuhumiwa hao.


  Ombi hilo lilikubaliwa na hakimu huyo ambaye aliahirisha kesi hiyo hadi Januari 27, aliamuru washtakiwa hao wapelekwe gerezani.  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wahindi wanachukua Madini Yetu, Biashara Zetu na sasa Wanasafirisha able bodied people...
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mmmmh! sijui tunaelekea wapi!
   
 4. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mamayangu! Slavery is back!?
   
 5. A

  ADK JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hebu tujuze vema sasa hao viumbe wakisafirishwa kwa madhuni yepi hasa?
   
Loading...