Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mungu tunusuru na maisha haya,maana hali ni gnumu hatujui nini hatima yetu.Kila kukicha heri ya jana,maisha yetu yamegubikwa na kila aina ya shida.Nchi yetu imejaliwa ardhi nzuri yenye rutuba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi binafsi nimeguswa na msiba wa Mbunge Regia. Lakini nilipatwa na mshituko niliposikia alikuwa akiendesha yeye mwenye kwa hii barabara ya Morogoro kwenda Morogoro. Kunahitajika uzoefu humu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita mimi na rafiki yangu tumepelekwa na mzee mmoja eneo la kisasa, Dodoma kutuonyesha viwanja vyake viwili anavyoviuza, sababu kubwa ya kuviuza viwanja hivo ni kwa ajiri ya kupata ada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale watu watatu waliokamatwa jumatano ya tarehe 11 jan pale UDSM, jana wamepandishwa kizimbani kwa kosa la "kupiga kelele" na "kufanya fujo".....mwenye kuijua sheria ya kuzuia kupiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
’KAMWE HATUTAINGILIA UTENDAJI WA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI, KWANI IMEUNDWA KISHERIA, MAMBO YAENDE OVYO YASIENDE OVYO HATUTAWAINGILIA KWANI TUTAKUWA TUNAVUNJA KATIBA, LABDA KUWEPO NA KELEKELE ZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati bado watu wakiwa katika majonzi mazito ya msiba wa Mh. Regia Mtema gari la Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu nusura iwake moto na kuwateketeza!!!!! Ajali hiyo ya moto ilitokea mkoani Pwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani waungwa kama kuna mtu anaifahamu COBA ( CATHOLIC OLD BOYS ASSOCIATION) na malengo ya kuanzishwa kwake atuaeleze humu ndani
0 Reactions
1 Replies
932 Views
HATA MIMI NINGEPENDA NIPATE POSHO NYINGI IWEZEKANAVYO NA KULIPA KODI KIDOGO IWEZEKANAVYO – HUU NDIYO UBINADAMU!! Hivyo basi si vyema kumwachia mlipwa posho kuamua alipwe ngapi na mlipa kodi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Sakata la mgomo wa madaktari wanafunzi limezidi kutikisa ambapo sasa Chama cha Madaktari Nchini(MAT) kimetoa tamko linalotoa saa 72 kwa serikali iwarejeshe madaktari wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kundi la vijana ambao inasemekana wametoka mpirani mitaa ya relini(mwananchi), wanapiga watu na kupora vitu. Kuanzia relini hadi huku mabibo mwisho watu wamelizwa sana yapata dakika 15...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
I am always deeply inspired and impressed with those young energetic and dedicated youth leaders and activists like the Late Regia Mtema.This is due to the fact that they are very few, Also It...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJf hebu tujikumbushe yaliyotokea katika msiba wa chacha wangwe "Kumeibuka utata juu ya kifo chake hasa kutokana na mkanganyiko wa taarifa baina ya mashuhuda wawili walioshuhudia ajali hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo ndo siku ambayo anaweza akazungumzia POSHO,
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu Jakaya wakati anaomba ridhaa kwa Watanzania ili aingie ikulu aliahidi ataleta MAISHA BORA kwa kila Mtanzania. Lakini ukiangalia kinachoendelea sasa ni MAISHA DUNI kwa kila Mtanzania. Nasema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
katika bomoaboma za makazi na kuondolewa wafanyabiashara wadogowadogo (machinga) kwa nn mafundi viatu (shoe shine) huwa hawaguswi. Ni kweli ni state agency.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndoto za marehemu Regia, alivyosaidia jamii Send to a friend Monday, 16 January 2012 20:42 0digg Waandishi Wetu KIFO cha Mbunge wa viti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Monday, May 2, 2011, 9:40 • Papaa Msofe implicated BY ISAAC LONGWE KINONDONI land disputes seem to be promoted by land grabbers who operate with full cooperation of the police to intimidate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rwanda had recorded “notable improvements” in different sectors – putting it at the top in availing economic opportunities for its people compared to almost all the other African counterparts...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF Tafadhalini sana nakuombeni kwa yeyote mwenye uwezo naomba malalamiko yangu haya yamfikie mlengwa na yatoke kwenye magezeti yetu mimi kila nIkituma kwenye barua za wasomaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
yaani naangalia nasikia mtu ananitoa roho jamani inavyouma binti mchanga kichwa origin na si cha kudesa kama vilivyosalia humu Mungu ampe Wepesi huko aliko ni wakati wetu sisi tuliobaki duniani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom