Comedy show:Zoezi la Utambuzi wa Wafanyakazi hewa Jijini Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Comedy show:Zoezi la Utambuzi wa Wafanyakazi hewa Jijini Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndebile, Jan 16, 2012.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Leo ndio zoezi hilo linafanyika hapa ukumbi wa Gandhi. Kinachoendelea ni vurugu tu.
  Majina ya watumishi yamebandikwa ukutani na inabidi kila mfanyakazi akague kama jina lake lipo katika orodha hiyo. Kituko ni jinsi orodha ilivyoandaliwa,hawajafuata mtililiko wa herufi A,B....hivyo kupata jina lako inakuchukua nusu saa(kwa vijana wa zamani ni saa nzima)
  Ukipata jina lako na namba yako unaingia ukumbini tayari kuhakikiwa. Ndani kuna foleni kama 10 hivi.
  Kivutio: huduma zote za afya kwenye vituo vya jiji zitasimama kwa siku nzima ya leo!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,774
  Trophy Points: 280
  majian haya wezi kuwekwa kwenye internet? au hata hao waweka majina nao wapo chali?
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  nadhani nao wapo chali! Pia internet sio rahisi sana kupachika majina ya marehemu....Vithibitisho vinavyohitajika ni kitambulisho cha mwajili na salary slip! Watumishi hewa wengi ni wale ambao wanapiga mzigo sehemu nyingine na huku serikalini mshahara ukiingia wanalamba....kwahiyo salary slip na vitambulisho vya kazi wanavyo.
   
 4. ram

  ram JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,204
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Ofisi ya ardhi inayojaaga watu kuanzia asubuhi hadi saa tisa leo huduma zimesitishwa au inakuwa vipi hapo
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  ardhi,utawala,elimu,nk hakuna huduma leo!
   
Loading...