Ni brand gani nzuri inayodumu

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Habr zenu wana Jf, samahani kama nimekosea jukwaa! nilitaka mnijuze, ni brad gani bora ya friji. Sokoni kuna brand nyingi siku hz, sanyo, hitach, whilpool, samsung, lg, boss na nyinginezo. Naomba mnisaidie hapa mwenzenyu.
 
habr zenu wana jf, samahani kama nimekosea jukwaa! Nilitaka mnijuze, ni brad gani bora ya friji. Sokoni kuna brand nyingi siku hz, sanyo, hitach, whilpool, samsung, lg, boss na nyinginezo. Naomba mnisaidie hapa mwenzenyu.

westpoint
 
Beko au Samsung lakini tafuta friage ya coil

rtz, asante sana kwa ushauri. Utazingatiwa. Lkn coil unamaanisha ndani ya fiji au nyuma maana, nijuavyo ya ndani sio frost free! I berg to be corrected sir!
 
Mkuu, Coil inakuwa ndani freage ikigandisha zile Coil zinaganda zinatengeneza barafu...

Freage zenye feni zinasumbua sana, feni ikifa freage haifanya tena kazi mkuu..ingawa freage za Coil bei yake juu kidogo!
 
what a piece of advice. Thanks very much! Lkn pia umeme wa tanesco ukipyee, mbarafu hayoo, na mimaji inamwagika. Au? Nilikuwa nalo la mtumba la feni, lilikuwa halimwagi maji, nataka kubdlsh brand new kusev umeme pia
 
Habr zenu wana Jf, samahani kama nimekosea jukwaa! nilitaka mnijuze, ni brad gani bora ya friji. Sokoni kuna brand nyingi siku hz, sanyo, hitach, whilpool, samsung, lg, boss na nyinginezo. Naomba mnisaidie hapa mwenzenyu.

LG na Westpoint......
 
Mkuu, Coil inakuwa ndani freage ikigandisha zile Coil zinaganda zinatengeneza barafu...

Freage zenye feni zinasumbua sana, feni ikifa freage haifanya tena kazi mkuu..ingawa freage za Coil bei yake juu kidogo!

freage ndiyo fridge (refrigirator)

kaazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom