Paul Mashauri presentation nzuri lakini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Mashauri presentation nzuri lakini...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NgomaNgumu, Oct 21, 2011.

 1. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inafurahisha kuona kijana kama Paul Mashauri Rais wa East Africa speakers Bureau jinsi alivyoweza kulielewa tatizo la nchi yetu. Amefafanua kwa kina majukumu ya kila asasi ktk kumundaa mTanzania na binadam kwa ujumla ili awe mfanya kazi mzuri. Amesisitiza sana kudeliver, accountability na mengineyo.

  Ispokua kitendo cha kukumbushwa kua muda wake wa presentation umemalizika kidogo kimetia dosari. Kwa hali yoyote anafaa kuhamasishwa na kusaidiwa ili awe kiongozi bora.
   
 2. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  asante sana ndugu kwa ajili ya speech hii paul mashauri i wish TANZANIA Nzima wangesikia speech hiii ilikuwa ni safi sana yaani mashauri anaongea maneno ambayo yanaongelewa na wataalam wakubwa wa nchi nyingi za EUROPE NA AMERICA.

  Big up Mashauri.
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hazina kama hizo zikitumiwa vibaya na watawala..zinakuwa butu mpaka hazifai hata kwa ushauri hasa zikizeeka..
   
 5. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  nimuongeaji mzuri ila utekelezaji zero
  kuna kipindi alipewa contract na Zain ya data entry
  ali tuajiri vijana wengi sana tulipiga kazi ila malipo ndo ilikua ngumu
   
 6. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Vijana wa Kitanzania wanajua kuona na kutoa mapungufu. Subiri waje hapa waanze kuporomosha mapungufu. Binafsi namfahamu na ninamkubali sana Paul. Ninamwona kama the next R. Mengi
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa ni mkali. nimependa alivyo coherent! Ni kweli ana miaka 30 tu? He has certainly achieved a lot!
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jamaa hata na mie namkubali sana ni kijana mwenye malengo na mafanikia sana changamoto na mfano wa kuigwa kwa vijana tegemezi wa ajaira Tanzania

  [​IMG]
   
 9. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  watamfrustrate siku si nyingi, akijaribu siasa tu ajue ndo amekwisha. Big up paul.
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni mwana CCM mzuri tu naamini kabisa ajiandae kuchukua JIMBO la Kawe 2015
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Na bongo hii bila kuwa mwana CCM huwezi fanikiwa kimaisha na ukifanikisha kijasho lazima kikutoke utakutana na vizingiti kibao
   
Loading...