Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye mafuriko ya jangwanai Dar hivi karibuni CCM ilitoa ubani wa shlng mil 4 kwa wahanga huku CDM ikitoa Mil 25.Jana kwenye msiba wa Regia Mtema kule Ifakara CCM hawajatoa rambirambi wakidai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ajali imetokea Mbozi, Mbeya leo mchana. Dereva wa Gari inayosafirishwa kutoka bandari kuelekea nchini Zambia Aden Mwampyate akitolewa ndani ya gari baada ya kugongana na gari aina ya Fuso...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
yani nimejihimu kusubiri taarifa ya habari ya saa mbili usiku nione mazishi ya regia, mpaka sasa hola, kwa kweli nawashangaa itv!!!!
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nipo Mbeya Umeme umekatika saa nane na robo,pia nasikia Dar Umeme umekatika pia... vipi huko kwingine...???
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wat's up? Jf members mi nimesikia mambo kuhusu kifaa ambacho kinategemewa kutumika katika miili yetu.naombeni ufafanuzi juu ya hiki kifaa!.
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Wadau hii imekaaje? Malumbano yameanza huko Zbar kuhusu ule ujumbe wa Prof.Tibaijuka huko UN.Jana Baraza la wawakilishi lilikaa na Leo wanaendelea agenda kuu ni hiyo.........Kisa eneo Lao lenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wadau ni wiki kadhaa sasa mji wamoshi umekumbwa na uhaba mkubwa wa maji ulioanza ghafla bila notisi au taarifa zozote kutolewa na mamlaka ya maji.Katika hali isiyo kawaida mgawo umekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa mbunge mwingine ambaye amewahi kuwa naibu waziri amefariki! Wenye news turushieni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Uchunguzi wa kuaminika uliofanyika katika maduka mengi Dar, Moro na miji kadhaa mingine umegundua kuwa wauza nyama wamekuwa wakifanya mchezo hatari wa kupulizia nyama sumu za kuua wadudu ili...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwa jinsi taifa linapoingia na wasiwasi juu ya usalama wa viongozi wake wa ngazi za juu wa serikali na wa kisiasa kwa upande wa chama tawala na cha upinzani. je ni nini kazi ya kikosi cha usalama...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
madereva wa kibongo wananishangaza kama sio kunisikitisha na matumizi ya taa za hazard wanapoendesha magari yao, utamkuta dereva anasimamisha gari katikati ya barabara anawasha hazard halafu...
0 Reactions
12 Replies
54K Views
Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ktk waandishi ninaowafagilia na kuwapa 100% ktk habari za uchunguzi ni KTN TV(JICHO PEVU) hawa jamaa wameiva kiuandishi,wapo tayari kupoteza maisha lakini kuikomboa jamii ya Kenya inayo umia na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati swala hili la posho linashika hatamu, na kwa kuwa ni kasehemu tu ka ufisidi unaoangamiza taifa, hebu tujikumbushe ripoti hizi kwa wale ambao hawakuzisoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanajF,Nina masikitiko.Nchi yangu si maskini!Hata kidogo.Najua wengine humu watasema nimevuta bhange au nimelewa,sivyoo,ni kwamba Wtz wa leo wengi ni jobless na hawajutii hilo,kwao poa tu,cv za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikiwa kwenye msafara wa magari yaliyotoka Dar na viongozi mbalimbali ,wanafamilia wa marehemu mh Regia,na wananchi wengine ingawa na usiku saa 3 kamili tunaingia ifakara kuanzia keepleft mpaka...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Kama itakuwa kweli watakuwa awatutendei haki jamani kuna mtu yuko karibu na mh mmoja anasema jamaa wamelambishwa toka jana kadhaa kwa wanaokaa mpaka kesho na kiasi kadhaa kwa walioenda leo na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman wana JF, na waTz, wapenda sekta ya elimu, naombeni kwa wale walio na taarifa za kwel na uhakika kuhusu hatma juu ya ajira mpya za walimu, cheti, stashahad na shahada 2011/2012 watujuze! Hi n...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mara kwa mara tumekuwa tukisikia kuwa serikali imepata hasara ya Mabilioni ya Shilingi kwa kulipa mishahara kwa watumishi ambao aidha wameacha kazi,wamestaafu au wamefariki.Swali la kujiuliza ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom