Nini kazi ya kikosi cha kulinda viongozi wa serikali na viongozi wa kisiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kazi ya kikosi cha kulinda viongozi wa serikali na viongozi wa kisiasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Jan 18, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi taifa linapoingia na wasiwasi juu ya usalama wa viongozi wake wa ngazi za juu wa serikali na wa kisiasa kwa upande wa chama tawala na cha upinzani. je ni nini kazi ya kikosi cha usalama wa taifa kinacholinda viongozi hao?

  kama inafikia wakati watu wanawekeana kemikali radioactive element(polonium 210). nadhani ni wakati wa kujaribu kukivunja kikosi hiki na kuunda kitengo kingine la sivyo basi itafika wakati ambao taifa halitakuwa na jinsi zaidi ya kukodi kikosi cha ulinzi wa viongozi toka nje ya nchi.

  Inasikitisha jinsi viongozi wakuu wanavyotembea na bastola nyingi na risasi kwenye magari yao kwa hofu za kushambuliwa na maadui zao wakati lilikuwa si jukumu lao
   
 2. k

  king11 JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kikosi hiki kimeshindwa kazi na tumeshuhudia watu wakilishwa sumu na cha kushangaza ni hadi mawaziri wa serikali tawala sasa kama kuna watu wanaendelea kulipwa mishahara kwa kazi hii ni bora wakatathminiwa kwani kama tukiendelea hivi siku moja rais atalishwa sumu na ndio tuanze kulalamika
   
 3. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi nikumbusheni Rais Mstaafu walimfanya nini tena mbele ya huo ulinzi?
   
 4. k

  king11 JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​ni kitu cha kushangaza mpaka rais mstahafu anapigwa kibao na watu lakini kikosi hiki kipo kimelala tu
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​kuna tatizo lingine ambalo Taifa letu tunalo pindi kiongozi wa ngazi za juu anapopata tatizo la kiusalama basi hakuna wahusika wa usalama wanaowajibishwa hii ndio inawafanya kutokuwa makini katika kazi zao na muda mwingi kutumia kuzuia maandamano tu
   
Loading...