Malipo ya Dowans

Nchi hii lolote lawezekana. Kila kitu shaghalabaghala!
 
Bado DOWANS hawajalipwa. Dowans hii ya CCM inadai billioni 120:hat: kwa sasa. Ila wamevuna vya kutosha kwa miezi 21 ya mkataba na 152 millioni kwa siku. Unyonyaji huu unaendelea kupitia Symbioni, IPTL n.k.:poa
 
hizi pesa ndio zinatumika kuwalipa kina malaria sugu si unawaona walivyo na pumzi hapa.
 
Kuna tetesi kuwa mali za ubalozi wa tz (huko UK) na hata mojawapo ya accounts za BOT zinaweza kuwa 'frozen' katika harakati za dowans kuhakikisha wanapata malipo yao. Nimelisikia hili leo kwenye "corridors" za mojawapo ya ofisi nyeti za serikali. Lets stay tuned!
 
Back
Top Bottom