Mama mawazo hayachezi mbali na Kibla?!walidhani regia ni Muislam labda
tuwe na subira waungwana! leo MEDIA nyingi zimeshindwa kuonyesha hili tukio kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ifakara..hivyo ikawawia vigumu waandishi kutuma habari ile kwenye vyombo vyao!
acha umbea na unafikihawajaonyesha kwa kuwa regia sio mchaga bana!
hata wewe unalalamika? Nilizowea kusikia wale jamaa ndio walalamishi
star tv na tbc wameonyesha
acha umbea na unafiki
tuwe na subira waungwana! leo MEDIA nyingi zimeshindwa kuonyesha hili tukio kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ifakara..hivyo ikawawia vigumu waandishi kutuma habari ile kwenye vyombo vyao!
hahaaaa,mbea na mnafiki ni nanii yako........... hahaaa,kipele limepata mkunaji??? regia hakuwa mchaga na utaona kama kiti hawatokireplace kwa mchaga mwenzao!
yani nimejihimu kusubiri taarifa ya habari ya saa mbili usiku nione mazishi ya regia, mpaka sasa hola, kwa kweli nawashangaa itv!!!!