Malipo ya Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Dowans

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyamungo, Jan 18, 2012.

 1. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  BADO!.... Zinatafutwa sh. Billioni 120 Kuwalipa DOWANS. Ni lazima zipatikane ili wawatoe wezi hawa. Deni linazidi kuongezeka. Likiwa kubwa zaidi litaibua mengi na mgogoro wa kitaifa.
   
 3. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kazi ipo na Riba inaongezeka kadri siku zinavyosonga
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unauliza swali na jibu unatoa hapohapo, unataka tuweke rubber stamp au tuendelee kulia maana machozi yamekwisha machoni.
   
Loading...