Kifo cha Mh Regia, Kilombero walia na Mteketa!

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Nikiwa kwenye msafara wa magari yaliyotoka Dar na viongozi mbalimbali ,wanafamilia wa marehemu mh Regia,na wananchi wengine ingawa na usiku saa 3 kamili tunaingia ifakara kuanzia keepleft mpaka maeneo ya msamaria mwema kituo cha mafuta mji umezizima! Kwa majonzi! Watu ni wengi barabarani akina mama vijana na watoto wanalia kwa kwikwi wengine na wengine wamethubutu kulia na mh mbunge wa jimbo la kilombero ABDUL MTEKETA kuwa amechokoza nyuki!
 
Mtoa mada kwanza asante kwa kutujuza ya kwamba mmefika,lakini je waliofika salama ni magari yepi?maana msafara ulikuwa mrefu,yawezekana ulikuwa kwenye msafara wa viongozi na kumbe wale wanachama wa CDM na marafiki waliokuwa kwenye magari ambayo hayakuwa kwenye orodha ya magari ya viongozi ikoje?
Na je hao wanaosema Mteketa amechokoza nyuki wamejaribu kufafanua ni kivipi?
hebu fuatilia kwa kina kisha utujuze
 
Kwanini amechokoza nyuki? Kuna kauli aliitoa baada ya kifo cha mh? Hebu fafanua huyu mteketa kachokozaje nyuki! Na nyuki ni akina nani kwenye hii story yako!
 
Mtoa mada kwanza asante kwa kutujuza ya kwamba mmefika,lakini je waliofika salama ni magari yepi?maana msafara ulikuwa mrefu,yawezekana ulikuwa kwenye msafara wa viongozi na kumbe wale wanachama wa CDM na marafiki waliokuwa kwenye magari ambayo hayakuwa kwenye orodha ya magari ya viongozi ikoje?
Na je hao wanaosema Mteketa amechokoza nyuki wamejaribu kufafanua ni kivipi?
hebu fuatilia kwa kina kisha utujuze

Kwa mujibu wa taarifa nilizopata toka kwa mmoja wa watu walioondoka na msafara toka karimjee kwenda ifakara ni kwamba wote wamefika salama.
 
na wananchi wanachomaanisha hapa ni ushirikina unaominika kufanywa na Mh Mteketa! Imani yao kubwa ilikuwa kwamba mbunge wa jimbo ni marehemu regia! Inashangaza kwa kweli,ila kwa ujumla msafara mzima umefika salama salmini kwa mengine ni kwamba huku pia naona chadema wanakubalika sana
 
Yaani wewe kuona maneno Abdul na Ustaadhi tayari........imekuwa tabu. Mie naamini wewe huwa una malaria kweli...tena sugu[SUP]3[/SUP]

Kwa hiyo unadhani hakuna Muislam ambaye ni mwana CDM.? Tuko wengi we HADJAT

Ustadhi na cdm imeingia je hapo?
 
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata toka kwa mmoja wa watu walioondoka na msafara toka karimjee kwenda ifakara ni kwamba wote wamefika salama.

Asante Mwita kama watakuwa wamefika salama ni jambo la kumshukuru Mungu,ila naomba umuulize huyo jamaa yako hali kwa ujumla ikoje,wingi wa watu maeneo ya kupunmzika na mapokeo ya msiba huko Ifaka yakoje?
 
Nikiwa kwenye msafara wa magari yaliyotoka Dar na viongozi mbalimbali ,wanafamilia wa marehemu mh Regia,na wananchi wengine ingawa na usiku saa 3 kamili tunaingia ifakara kuanzia keepleft mpaka maeneo ya msamaria mwema kituo cha mafuta mji umezizima! Kwa majonzi! Watu ni wengi barabarani akina mama vijana na watoto wanalia kwa kwikwi wengine na wengine wamethubutu kulia na mh mbunge wa jimbo la kilombero ABDUL MTEKETA kuwa amechokoza nyuki!

Ki- vipi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom