Wakuu,
Kwa kuwa jana Waziri mkuu Pinda alisema kuwa Rais atashirikiana na Chadema kumwaga Mpambanaji Regia Mtema huko ifakara na,
kwa kuwa Dr Slaa naye ameshakwenda Ifakara kwa ajili ya kazi...
Hivi hii nchi ina wataalam kweli? Kutuingiza watanzania mkenge kwa kutuletea powertiller ambazo haziwezi kulima labda kubeba majani ya ngo'mbe. Ni heri ulime kwa plau kuliko haya mapowertiller...
Kwa kweli blog ya Issa Michuzi MICHUZI haikuipa uzito habari ya msiba wa Shujaa REGIA. Habari za msiba zimekuwa zikiwekwa katikati au mwishoni. Kwa kweli nahisi km hakuipa uzito wowote. Namshauri...
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imetakiwa kutokubali kuingiliwa na viongozi wa kisiasa ama wa kiserikali katika utendaji wao wa kazi, wakati wa kushughulikia watendaji...
Nimekuwa karibu kufuatilian mchakato mzima wa kutafuta vazi la taifa ulianzishwa na muheshiwa Emmanuel Nchimbi waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.Kwa upande wangu sidhani kama huu...
Baada ya Msiba wa Regia Mtema Delegation yote ya serikali (Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na spika) picha zinajionesha
ilikimbilia msibani hii ilikuwa furusa nzuri serikali kujitakasa kwa...
Wadau, mwenye data aweke hewani, kwa nini zoezi la kujivua magamba la CCM limeyeyuka kama mshumaa na hata mkuu wa kaya na mwenyekiti amenyong'onyea na hataki hata kukumbushia?
Godfrey Kahango,Mbozi
WAKULIMA wa Wilaya ya Mbozi, mkoani Mbeya wamemzuia Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe kuingia ndani ya ukumbi ili azungumze nao badala ya...
Habarini wana JF Mimi ni mwajiriwa katika moja ya halwashauli kwenye hii halmashauli kila mtu anayeomba kupewa pesa ya kusafilishia mizigo anajibiwa kuwa labda apewe gari sasa kwakuwa naamini...
Kama kuna sehemu mbaya sana kwa huduma basi ni kariakoo mtaa wa Kongo, vodacom wamebana sehemu kubwa ya huduma na kuifanya iwe m-pesa na kuacha sehemu ndogo ya kupokea wageni.
Yaani imekuwa kero...
Nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu, kwa nini watz tunalalamika tu bila kuchua hatua? Wasomi wanalalamika, wasiosoma wanalalamika nani achukue hatua?
Hivi kweli tukiungana wtz wote, wasomi...
Mwalimu JK Nyerere alithubutu kuachia Uwaziri Mkuu wa Tanganyika na Rashid Kawawa akashikilia wadhifa huo ONLY that mwalimu apate muda wa kujenga na kukiimarisha chama.
Leo hii Maalim Seif Hamad...
Nalileta kwenu waandishi wa habari.
Naomba sana mtusaidie kumulika utendaji kazi wa hospitali ya mkoa dodoma.
Hosipitali zote za serikali zipo corrupt lakini hii ya dodoma no.1.
Jaribuni kufanya...
Suala la timua timua hapa nchini. Imakuwa kama tz ni nchi imbayo ni tajiri wa wataalamu wakati hata wakologa udongo wa kujengea tuanawapata toka china, Tutafika kweli kwa mtindo huu tukisahau ni...
Ndugu zangu wanajf, poleni sana kwa msiba wa mwanajf mwenzetu na mbunge Regia Mtema (RIP).
Pamoja na majonzi tuliyonayo, napenda niwasilishe sikitiko langu juu ya huduma za Tanesco. Tuliambiwa...
nasikitika kuona wanaharakati kukaa kimya uku bei ya umeme ikipanda juu,nilithani sasa na sie watanzania tuanze kudai punguzo la bei ya umeme badala ya wao kuongeza bei! basi km ni hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.