Leon Bahati
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeingia tena katika kashfa ya ufisadi wa matumizi mabaya ya rasilimali za umma, baada ya kubainika kuuza kinyemela sehemu yenye utajiri...
Viongozi wetu wa dini zote wa islamu na wakiristo.huu utaratibu wa kuleta wana siasa kwenye makanisa na misikiti,kwa kipindi hichi kuna makundi ya wana siasa wanaotaka uraisi,ubunge na udiwani ata...
Siku zinavyo zidi kwenda ndo nyimbo zinapotelea mbali, mfano, ni akina nani utawakuta wanaimba...
Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi
watu wengi wa ulaya wanaililia sana
nimeona ndege...
Ni vizuri tukaiga mifano mizuri hasa ktk mambo muhimu kama yale yanayohusu kupoteza maisha ya watu. Meli ilyozama Nungwi mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyekamatwa, kweli kwa hali hii tutafika...
Jamani ile ahadi ya bwana HU kuwa atarudi na ule mwendelezo wa kumuonya JK juu ya mtandao fulani hatari ndani ya chama vipi mbona kimya? Alisema kuwa angerudi na 3rd part ya hiyo story lakini...
Kunatetesi kwamba waandishi wa habari wanajua siri nyingi za nchi inavyoibiwa lakini hawasemi kwa vile wanapewa pesa na wa kubwa, kwa maana kwamba wanatumika sana kuficha maovu. je tetesi hizi ni...
Wakati tupo bado tuna majonzi yakuondokewa na mpiganaji mwenzetu Ndg. Regia Mtema kutokana na ajali ya gari na mazingira mazima ya chanzo cha ajali yake. Ilivyo na inavyo julikana ni kuwa viongozi...
Jamani Leo nimekuwa nikiwaza habari zote ninazozisikia kuhusiana na CUF, Vita kuu ni watu wa asili moja na nina Imani majirani HR, na SSH.
Mgogoro wa HR ni mabadiliko na uongozi safi, Tatizo za...
Kwa namna mambo yanavyoenda juu ya ushughulikiaji
wa mgogoro baina ya wizara ya afya na madaktari ni
wazi anayeumia ni mwananchi Wa kawaida ambaye hana haki wala uwezo wa kwenda kwa matibabu...
WanaJF mambo vipi?,natumai mu wazima.
Nimeshindwa kuelewa wanajf wenzangu huu mlolongo wa madudu unaofanywa na baadhi ya viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza maamuzi yaliyo sahihi kutokuwa na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NDUGU WANAHABARI
Awali ya yote hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mola wa viumbewote. Pili tuna kushukuruni kwa kuitikia wito wetu licha ya kuwa namajukumu...
Naomba mnijuze wana JF kwani mbunge hutambulikaje maana ninatatanishwa sana na suala la wanaedai mbunge wa CCM (Sumari) aliefariki akiwa bado hajaapishwa,ilikuwaje na itakuwaje?
1.Je alikuwa...
Siku hizi ***** ***** za udini zimepamba sana moto mitaani na, hata katika mitandao ya kijamii mfano hapa JF. Hebu tujiulize swali moja dogo. Tukiweka udini mbele na kuacha undugu na ujirani kando...
Kwa vile pacha wa marehemu alikuwa akimsaidia marehemu katika kazi nyingi za kibunge na kisiasa,na tumeona marehemu alikuwa na mvuto mkubwa kwenye maisha ya kijamii na kisiasa- pacha wa marehemu...
Heshima mbele kwanza! Naomba kutoa pole kwa msiba ulio2pata sie wapganaj hasa vijana kwa kuondokewa na Jembe letu la majira yote, dada yetu mpendwa, Regia Mtema, let her R.I.P
Ndg wana JF...
Ktk habari ITV ya saa 2 wameripoti kuwa kamati iliyoundwa kuchunguza ajali ya mv spice imeshahuri wenye meli na viongozi wa serikali waliohusika wakamatwe, imeripotiwa kuna baadhi wamekwisha...
Waziri wa Elimu najua Taarifa hii utaipata na ntaomba nipate majibu,Wadau kuna watu wenye digrii na diploma za fani nyingine Waliomba ajira za Ualimu Na wao serikali itawaajiri au hawata ajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.