Eneo la bahari kuzua tafrani Tanzania na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo la bahari kuzua tafrani Tanzania na Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiroroma, Jan 19, 2012.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wadau hii imekaaje? Malumbano yameanza huko Zbar kuhusu ule ujumbe wa Prof.Tibaijuka huko UN.Jana Baraza la wawakilishi lilikaa na Leo wanaendelea agenda kuu ni hiyo.........Kisa eneo Lao lenye mwamba wa mafuta umeingiliwa!!
   
 2. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wanayataka viongozi wa bara, kwani hawazijui sheria za bahari na mipaka yake na inaonekana wanachokifanya viongozi wa muungano ni kuidharau nafasi ya Zanzibar ktk survival yake.
   
 3. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hii ni hali ya utata nisiouelewa kwani kushirikishwa gani kwa Wazanzibari kama Wizara ya Ardhi na makaazi si ya Muungano?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni tanganyika na zanzibar
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  UN inaitambua Tanzania au Zanzibar? Nimemsikia Jussa akilalama redioni asubuhi hii
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yani zenj,wao adui yao ni Tanganyika tu!
   
Loading...