Ajali Mbozi, Mbeya leo

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Hii ajali imetokea Mbozi, Mbeya leo mchana.

Dereva wa Gari inayosafirishwa kutoka bandari kuelekea nchini Zambia Aden Mwampyate akitolewa ndani ya gari baada ya kugongana na gari aina ya Fuso katika maeneo ya Senjele wilayani Mbozi mchana huu.
100_2996.JPG

Dereva Aden akiwa katika maumivi makali wakati akitolewa ndani ya Basi akikimbizwa hospitali ya Ifisi

100_2998.JPG

Wasamaria wakimpandisha dereva aliyepata ajali ndani ya Coasster ambayo alipewa msaada kwa ajili ya kupatiwa matibabu kwenye Hospitali Teule ya Ifisi
100_3000.JPG

100_3004.JPG

100_3008.JPG

Wauguzi wa hospitali ya Ifisi wakimpeleka majeruhi ambaye ni dereva aliyepata ajali wodini kwa ajili ya kupatiwa matibabu mchana huu.
100_3012.JPG

Source: http://mbeyayetu.blogspot.com/
 
Source: Mbeya Yetu

Udhibiti wa ajali za barabarani kwa Tanzania, baadae sana.

Kila siku ni ajali maeneo yale yale. Sijui ni uzembe wa madereva ama ni ubovu wa miundombinu ya barabara ama ni ubovu wa magari!?
 
Na ukiangalia sio za mabasi tuu. Ajali nyingine kama hizi huwa hazitangazwi sana kwenye vyombo vya habari lakini zipo nyingi.
 
sio ajali tu hakuna kinachoendelea,tumwulize huyu jamaa alikanyaga nini wakti anaingia ikulu?
 
duu kila siku ajali,yaani ukisafiri sehemu ukafika salama mshukuru mwenyezi Mungu
 
Ajali imeshakuwa ni janga la Taifa sasa, very sad indeed.
 
Back
Top Bottom