Ukweli na uhakika kuhusu ajira za walimu wapya 2011/12.

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Jaman wana JF, na waTz, wapenda sekta ya elimu, naombeni kwa wale walio na taarifa za kwel na uhakika kuhusu hatma juu ya ajira mpya za walimu, cheti, stashahad na shahada 2011/2012 watujuze! Hi n kutokana taarifa ziszo rasm ku2changanya hasa sie wahuska waajiriwa! Nimetokea kujskia vibaya sn kuskia kua serikal haitatoa ajira mwaka hu wa fedha na itafanya hvo bajeti ijayo, na 7bu ya hil ni kua serkal imefulia, haina pesa! Lkn at the same time kuna tetes kua post znatoka tr 14 Dec 2011. Tukrejea taarifa za kwanza, ilikua tr 15 nov, post ziwe tayar zshatoka na kuhusu kua no money, i neva agree to this coz 67 bilions, zmepotea aimlesly, 4 nothng!
Plz help us 2 knw whts black and whte abot ths! W ar arleady toird with ths misrable lyf! Wazaz na wadogo ze2 they ar all hoping on us!
Plz nawakilsha!
 
Pole sana mkuu dnt lose hope ipo siku mtafunguliwa mlango bt never forget fisadis
 
Hii serikali haieleweki,iko kijanjakijanja tu!mabilions yanatumika kuadimisha utumbo eti miaka 50 ya uhuru,uhuru gani huu ambao wengine wamenyimwa fursa nyingi katika ajira!walimu wanakaa mitaan huku shule hazina walimu!naishangaa sana !bajet ilipitishwa mwezi wa 7,ajira mwezi wa tatu mwaka mwingine!iliet!
 
Embu tusaidien jaman.
Kuna ukweli wa kupata kazi Serikalini? Au ndo taaluma zetu tuziweke mfukon na kuenda uswahilin kusaka maisha. Mh. Kikwete na Wizara Husika, embu VAENI Mioyo ya Utu. kwan Wangelikuwa ni wakini Riziwani wanahangaika kihivi, Mngeringa kiivyo. Take care, we cany do any thing badly, that the government Can't forget it.!!!!!!!!!! Kwani nimeitwa kufundisha, ila mwataka niichukie Proffessional yangu.
 
Ama kweli,this country bwana....jana nilisoma mahala hapa jamvini kwamba ikija kuwa leo basi wa nanjirinji na kazolamimba watakuwa wamejiona tayari,tusubiri tuone mkuu.
 
Jaman wana JF, na waTz, wapenda sekta ya elimu, naombeni kwa wale walio na taarifa za kwel na uhakika kuhusu hatma juu ya ajira mpya za walimu, cheti, stashahad na shahada 2011/2012 watujuze! Hi n kutokana taarifa ziszo rasm ku2changanya hasa sie wahuska waajiriwa! Nimetokea kujskia vibaya sn kuskia kua serikal haitatoa ajira mwaka hu wa fedha na itafanya hvo bajeti ijayo, na 7bu ya hil ni kua serkal imefulia, haina pesa! Lkn at the same time kuna tetes kua post znatoka tr 14 Dec 2011. Tukrejea taarifa za kwanza, ilikua tr 15 nov, post ziwe tayar zshatoka na kuhusu kua no money, i neva agree to this coz 67 bilions, zmepotea aimlesly, 4 nothng!
Plz help us 2 knw whts black and whte abot ths! W ar arleady toird with ths misrable lyf! Wazaz na wadogo ze2 they ar all hoping on us!
Plz nawakilsha!
Kaka fungua website ya elimu www.moe.go.tz uangalie umepangwa wapi, wameweka tayari
 
nenda kwenye jukwaa la elimu nimeipost site ya wizara ya elimu na majina ya wale waliomaliza diploma..
 
Back
Top Bottom