Nipeni nchi muone....!!

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
WanajF,Nina masikitiko.Nchi yangu si maskini!Hata kidogo.Najua wengine humu watasema nimevuta bhange au nimelewa,sivyoo,ni kwamba Wtz wa leo wengi ni jobless na hawajutii hilo,kwao poa tu,cv za wengine super phd,masters,adv dipl etc NO KAZI.Sasa mnipe nchi mtaona mabadiliko.Matumizi makubwa yasiyo ya lazima,NO.Waziri atembele ESCUDO,Naibu COROLLA.RC atembelee HONDA,DC atembelee baiskeli.W.Mkuu atembele RAV 4,Mimi nitatembelea 110.Pesa nitakazokuwa nimeokoa niwanunulie WANANCHI matrekta kila kijiji kilime nalo,wananchi lazima kulima sana,hakuna kucheza pool n.k.Niwajengee Zahanati kila kata,niimarishe hospitali Za mikoa,uzembe kwa mali ya UMMA mwiko,fedha mpaka senti maelezo ya kutosha,ukishindwa majukumu kaa kona uone ilivyo kazi kukaa bila kazi. Unajua tumbo lako ni ajira yako?Nina mengi sana mema.NINA NIA NJEMA,NAOMBA NCHI NIINYOOSHE...(SAUTI ISIYOSIKIKA)Nawasilisha.
 
pole sana kwa uchungu ulo nao juu ya nchi yako, lkn kwa sasa hakuna wa kuaminika wananchi hawajui hata pa kukimbilia wanasiasa wamewaangusha sana
 
Naogopa na sipendi mtu ambae jina lake lina JK ndani yake kutawala hapa nchini.
 
hatukupi - serikali yoyote duniani haiongozwi hivyo unavyofikiria wewe - kwanza una jazba.
 
Haya ni matokeo ya JK kuboronga!! Kila mtu anajiona anaweza!!
Big up mkuu kwa uchungu ulonao juu ya nchi yako, mwenyewe nitakupigia kampeini!!
 
pole sana kwa uchungu ulo nao juu ya nchi yako, lkn kwa sasa hakuna wa kuaminika wananchi hawajui hata pa kukimbilia wanasiasa wamewaangusha sana

Bora tulipe jeshi hii nchi
 
Unayo haki yako kikatiba kugombea wakati ukifika jitokeze mwaga sera matokeo ya kura ndo yatakayokuhidhinia ushauri wangu tafuta chama chochote cha upinzani na siyo ccm 7bu hata jama uonyeshe una uchungu kiasi gani na nchi yako hakuna atakaekuelewa wala kukupa kura
 
Back
Top Bottom