"Microchip" katika New World Order, eti inakuja?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Microchip" katika New World Order, eti inakuja?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mmasi, Oct 27, 2011.

 1. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wat's up? Jf members mi nimesikia mambo kuhusu kifaa ambacho kinategemewa kutumika katika miili yetu.naombeni ufafanuzi juu ya hiki kifaa!.
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Toa maelezo ya mtu mwenye kuelewa, kifaa kipi? Kitatumika katika nyanja ipi? Vipo vifaa vingi vinavyotumika katika miili ya binadamu kama matibabu, viungo bandia n.k. Wewe umesikia nini kuhusu hiyo MICROCHIP?
   
 3. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kitatumika kurekodi mambo yako yote na hutaweza kupata huduma kahaunacho na pia kama unacho hutakuwa unajulika yale yote unayafanya vp umenipata?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  unadhani NWO haijafika....? stuka kijana....
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! post yako ni fumbo!! naomba nikupe mji utufumbulie!!plzzzzzzzzz
   
 6. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Yes nimekupata please, nitarudi
   
 7. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio na namba yake kibinadamu ni 666 - itapigwa kwenye paji lako la uso au kwenye kiganja chako cha mkono - ila usiogope - cha msingi jiweke sawa maishani mwako -
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  hahahahaha...NWO..ishaanza kazi muda tu...
   
 9. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mmasi anataka kutueleza kuhusu kutumika kwa MICROCHIP hasa katika kufuatilia nyendo za binadamu ktk new world order; wakristo wanaosoma sana vitabu vya unabii wanalijua hili. Microchip tayari tunazitumia katika wanyama na kama ulisikia kuhusu Vifaru (rhino) wa Kikwete na simba wenye collar hizi zote ni radio transmission ambazo zina uwezo wa kuwasiliana na hiyo microchip na ukajua mnyama yuko wapi.....Lakini kwa hii Microchip kuna uwezo wa kuichimbia kwa mwili wa mnyama akatembea nayo na kuturushia mawasiliano tujue yuko wapi na huenda anachokifanya...Kwa binadamu pia kama umeona sinema za kijasusi huwa wanaonyesha wakimuwekea mtu hizo chip kwa kuja au bila kujua kijanja ili waitumie kujua huyo mtu yuko wapi. Katika dini inaaminika utafika wakati wtu wote watalazimishwa kuabudu Jumapili na wale watakaopinga wataadhibiwa...huenda hii mcrochip ikatumika hapo kujua nani mtii na nani siye.....Ingawaje hata hizi chip za kawaida tunazotumia kama za simu na bank bado zinaweza kutoa information sahihi kwa hilo sidhani kama mcrochip ni ya lazima hapa. Lakini duniani pia kila kitu kinawezekana, kama pia nasikia viwanja vya ndege wanataka kuweka scanner ya mwili mzima kuona kama hubebi madawa au mabomu!!!!!!
  Inawezekana........ pia Tanzania na Mafisadi imewezekana
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  niongezee tu kuwa Tanzania ipo ktk kipindi cha mpito kuwafundisha wafugaji juu ya mfumo huu wa utambuzi unaotarajiwa kuanza 2013 na tayari ipo ktk sheria ya nchi. Kwenye nane nane serikari kupitia wizara ya mifugo na uvuvi imekuwa ikitolea maelezo mara kwa mara
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  si mpaka awe anajua hata maana iliyofichika ya hiyo NWO
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  USA walihimiza sana matumiz ya hizi microchip baada ya sept.11,maana watu walipotezana sana na kuleta usumbufu huku simu zikiwa hazipatikaniki,ndipo serikali ikasema kwa nini ujipe tabu kujua U'R LOVED ONES WAPO WAPI-ndipo ikahimiza kama mtu utakuwa na microchip hutapata taabu ya kujua watu wako wako wapi.
  ILA HILI SWALA NI ZAIDI YA HAYO,PIA KUNA SIMU ZINA BUILT IN MICROCHIP KWA SASA,NA WATU WANANUNUA TU BILA KUJUA,JARIBU KUTAFUTA THREADS FLAN ILIANDIKWA NA MTU HAPA JF KUWA "WE ARE TRACKED" KAMA SIJAKOSEA UTAPATA UELEWA JAPO KIDOGO
   
 13. H

  HALLEVAM New Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unataka kusema hizi simu kwa mtu anayetarajia kwenda mbinguni hazifai? Hebu weka wazi tujue madhara yake
   
 14. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapendwa Bwana yesu asifiwe? ni me back so bring up Qs about dis mada.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimesikia jana mtu kafanyiwa upasuaji bila kukatwa mwili wake. Upasuaji umefanyika Arusha Lutheran Hospital, microchip ilitumika kidogo tu
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 17. M

  Mr.Alex Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si kwamba microchip INAKUJA imeshakuja swala ni muda tu kwa mfano Mexico idadi kubwa ya tycoons familiiles wameshawekewa hizo chip.Hii husaidia kuonyesha mahali walipo kama wakitekwa.Mexico ni kati ya nchi zilizo juu kwenye mambo ya utekaji nyara wa MATAJIRI.Hivyo wote walio microchiped imediately wakitekwa kampuni iliwawekea chipi hizo hujua wako wapi na hivyo kuwa rahisi kuwaokoa.Kwa Tanzania maandalizi yanaendelea kwa kasi.

  Kwa mfano watu wengi sasa hivi wanaweka pesa zao katika mfumo wa kieletroniki yaani Mpesa Zap pesa na kadhalika hii inamaanisha kwamba taratibu mfumo wa kuwa na pesa interms of notes na coin unakuwa phased.
  Vile vile malipo mengi sasa yanafanyika kieletroniki kwa kutumia kadi za kibenki mfano Master na Visa.Inaamana kwamba matumizi ya notes na coins taratibu yanapungua.

  Vilevile kuna vitambulisho vya uraia vinakuja.NI JAMBO ZURI SANA NAMI SIPINGANO NALO HATA KIDOGO.Ila shetani naye ana agenda yake ya siri katika hilo.Maana yangu ni kwamba soon mtu atakuwa na kadi kadhaa za benki,passport,kitambulisho cha uraia,kitambulisho cha mifuko ya hifadhi ya jamii kama vile NSSF PSPF n.k.Vilevile mtu huyo huyo atakuwa na ID ya kazini,ya kupiga kura kitambulisho cha udereva na vingine vingi mno.Sasa swali litakuja mbona kuna ID nying mno utabeba ngapi, utakumbuka password ngapi, je zikiibwa kwa nini kusiwe na moja.Wataalamu wa IT watasuggest kila mtu awekwe chip amayo itaondoa uhitaji wa vitambulishi vyote hivyo yenywe itakuwa in MASTER ID NA NDIO ITAKUWA KITAMBULISHO CHA URAIA ambapo kila aliye juu ya uso wa nchi kama atataka aishi maisha ya raha itabidi aufuate mfumo huo kwani hiyo ndio itakuwa kitambulisho cha mtu na itakuwa na taarifa nyingi mno za mtu husika.Infact chip itakuwa ni kama faili kubwa sana lenye taarifa nyingi za mtu na ambazo zitakuwa zikijiapdate mara kwa mara.Kwa mfano kwa sasa memory kadi za simu na kadhalika unawedha hifadhi hata filamu yenye GB za kutosha so hiyo chip itakuwa ni zaidi.Kwa mfano ukilipa kodi chip itarekodi, ukienda hosp chip itarekodi kila utakapokuwa itarekodi, taarifa za elimu yako zitarekodiwa na nyingine nying TUU.

  Hii ina maana kwamba ukipata mshahara wako utapelekwa bank tokea hapo utaingizwa kwenye elecrtonic money form na utalipa kwa vitu kama Mpesa au kwa kuswipe kadi yako kwenye POS mashine zilizo kwenye mahali utakaponunua bidhaa au huduma.Hivyo basi mfumo wa pesa taslimu soon utaisha.Wakati Dr Charles Kimei MD wa CRDB PLC akizindua Mastercard alisema kwamba karibia mfumo wa kulipa kwa kutumia hela keshi kwa hapa Tz utaisha!!!!!!!!!!!!Na nikweli kabisa pesa itakuwa kwenya tarakimu TU.Japani wana Digital wallet yaani wallet ambayo mtu anaweka pesa kidigital na sio kama sisi TZ hela unaweka hard cash noti na coin kwenya wallet.

  Vile vile majaribi ya kuwawekea chip hiyo wanadamu yameshafika zamani na yamefanikawa ni swala la wakati tu.Kwa taarifa ambazo zipo ni kwamba binadamu atawekewa chip hiyo mkono wa kushoto au kwenye paji la uso na chip hiyo ina umbo kubwa kama robo tatu hivi ya punje ya haradali.
  Vile vile kuanguka kwa serikali za afrika ya kaskazini nayo ni dalili ya kuwa kipindi cha kuwa microchipped kipo karibu mno.Kumbuka baadae Tunisia, Libya, na Misri zitajiunga jumuiya ya Ulay ili kurudisha Rumi ya zamani iliyoanguka ambapo hapo awali nchi zote hizi zilikuwa chini ya hiyo Rumi.Kwa sasa Rumi ni jumiya ya Ulaya yaani EU.Kama utawala wa nchi hizi usingeanguka haingewezekana kwa nchi hizi kujiunga na EU kwa sababu ya watawala na misimamo yao waliyokuwa nayo.Kumbuka kwa sasa nchi hizi zimeingia kwenya kitu kinachoitwa utawala wa kidemokrasia kitu ambacho ni wimbo wa ULAYA.

  Vilevile kutokana na usalama Duniani kuendelea kuwa mdogo vingozi wa dunia watasema lazimwa binadamu wote wapigwe chip ili ili kukamata wahalifu iwe rahisi zaidi.Fikiri muda uliotumiaka kumtafuta Osama au Gaddafi au Saddam kama wangekuwa wamepigwa chip ahh wangeonekana popote ambapo wangejificha.Kumbuka ndio maana sasa hivi kuna vitu kama cartrackkwa ajili ya kutrack magari. baadaye itakuwa humantrack!!!!!!!!!!!.Jeshi la Israel lina technolojia ambapo ukidondosha pini popote pale duniani jamaa wanaiona

  Ila kumbuka kuwa kwa sasa watu wengine wanawekwa miilini mwao kitu kinaitwa peace maker lil krekebisha mapigo ya moyo mfano Sir Alex Ferguson kocha wa Man u.Hii kitu ni ni mfano wa matumizi mazuri ya microchip tech.Kwa hiyo microchip si jambo la ajabu kabisa.

  Microchipping of human ni mpango ulioanza miaka mingi mno nchini USA na unafadhiliwa na waabudu shetani ambao ndio wanaofadhili tafiti mbalimbali zinazoendelea.Hii itamuwezesha mpinga kristo kutawala kiulaiiiiiini kwani atawajua kila wenye chip wapo wapi na wanafanya nini.

  Hitimisho
  Mambo yanayoendele Duniani si kwamba yanatokea hivihivi mengi ni kwa ajili ya kutumiza unabii wa kitabu kitakatifu cha bibllia.Kwa mfano machafuko ya Sirya yana maana kubwa katika wakati tulio nao au kukua kwa uchumi wa China na kuvuruguka kwa umoja wa Soviet yote haya yanatimiza baadhi ya unabii ulio katika biblia na hasa wa kitabu cha Daniel na Ufunuo wa Yohana.Ni vizuri mtu ukamrudia Mungu kwa kumwamini Bwana Yesu ambaye alikufa msalabani kwa ajili yetu lili uepuke kuwapo katika kipindi ambacho binadamu watapigwa chip hizo.

  Thanks
   
 18. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza nakupongeza kwa thirsty juu ya jambo hili.

  Ukweli ni kwamba NWO iko operative na taasisi zake zinajulikana na kila mwenye kufikiri.
  [​IMG]
  Kuhusu Microchip yaelekea uko blind sasa nakushauri kwanza u-visit hapa Microchip Implants, Mind Control, and Cybernetics « NWO Observer au Microchip Implants, Mind Control, and Cybernetics
   
 19. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Usichanganye, wala usiruhusu uchanganyikiwe na Propaganda za 666 na Chip....Ni lazima upate hekima ya kibiblia kuielewa 666 kama wito ulivyo katika Ufunuo 13:18 inayosomeka hivi;

  [SUP]18[/SUP] This calls for wisdom. Let the person who has insight calculate the number of the beast, for it is the number of a man.[SUP][e][/SUP] That number is 666.
  Kimsingi 666 haihusiani kabisa na physical objects kama Chip na vinginevyo, japo physical objects zina pray role kubwa kuelekea katika 666. 666 inahusiana na ibada, ndio maana ukiangalia Chapter 13, 14, 17 na 18 zinaelezea juu ya ibada, aidha kwa Mungu au kwa Papa. KIMSINGI 666 inahusiana na mamlaka ya Upapa. Na New World Order inahusiana na Mnyama mwenye pembe mfano wa mwanakondoo ambaye ni US atakavyo itawala Dunia na kumpatia Papa atawale na kuwalazimisha watu kumuabudu yeye na alama yake ambayo ni Ibada ya Jumapili. UKIKUBALI hili ndo kupokea 666, kwani watakao kataa ndio watakaoteswa.

  KWA HAKIKA naona tupo kwenye hatua za juu kuelekea NWO, na njia inayotumika nikutengeneza kiu ya NWO. Mfano walianzisha WW1 ikaja League of Nations, baada vita ya Pili ya Dunia, United Nations na Institutions zake ambazo zinacontrol mfumo wa fedha dunia, baada ya hapo Terrorism, mathalani baada ya Sept 11, utasikia wito wa NWO. Na sasa Revolutions kila sehemu. Watu wanakufa hakuna amani. Wakiisha kutengeneza nececity watasema ili kuondoa vita na machafuko ni lazima tuwe na NWO ambayo ni serikali moja chini ya PAPA. Huu ni ukweli ambao unakanyagwa kwa nguvu zote.

  Ukitaka soma mwenyewe Ufunuo 13 kwa utangulizi, ukikwama kuhusiana na symbols zinazotumika nitakusaidia. Hii hapa;

  [h=3]Revelation 13[/h]New International Version (NIV)

  [h=4]Revelation 13[/h][h=5]The Beast out of the Sea[/h] [SUP]1[/SUP] The dragon[SUP][a][/SUP] stood on the shore of the sea. And I saw a beast coming out of the sea. It had ten horns and seven heads, with ten crowns on its horns, and on each head a blasphemous name. [SUP]2[/SUP] The beast I saw resembled a leopard, but had feet like those of a bear and a mouth like that of a lion. The dragon gave the beast his power and his throne and great authority. [SUP]3[/SUP] One of the heads of the beast seemed to have had a fatal wound, but the fatal wound had been healed. The whole world was filled with wonder and followed the beast. [SUP]4[/SUP] People worshiped the dragon because he had given authority to the beast, and they also worshiped the beast and asked, "Who is like the beast? Who can wage war against it?" [SUP]5[/SUP] The beast was given a mouth to utter proud words and blasphemies and to exercise its authority for forty-two months. [SUP]6[/SUP] It opened its mouth to blaspheme God, and to slander his name and his dwelling place and those who live in heaven. [SUP]7[/SUP] It was given power to wage war against God's holy people and to conquer them. And it was given authority over every tribe, people, language and nation. [SUP]8[/SUP] All inhabitants of the earth will worship the beast-all whose names have not been written in the Lamb's book of life, the Lamb who was slain from the creation of the world.[SUP][b][/SUP]
  [SUP]9[/SUP] Whoever has ears, let them hear.
  [SUP]10[/SUP] "If anyone is to go into captivity,
  into captivity they will go.
  If anyone is to be killed[SUP][c][/SUP] with the sword,
  with the sword they will be killed."[SUP][d][/SUP]
  This calls for patient endurance and faithfulness on the part of God's people.
  [h=5]The Beast out of the Earth[/h] [SUP]11[/SUP] Then I saw a second beast, coming out of the earth. It had two horns like a lamb, but it spoke like a dragon. [SUP]12[/SUP] It exercised all the authority of the first beast on its behalf, and made the earth and its inhabitants worship the first beast, whose fatal wound had been healed. [SUP]13[/SUP] And it performed great signs, even causing fire to come down from heaven to the earth in full view of the people. [SUP]14[/SUP] Because of the signs it was given power to perform on behalf of the first beast, it deceived the inhabitants of the earth. It ordered them to set up an image in honor of the beast who was wounded by the sword and yet lived. [SUP]15[/SUP] The second beast was given power to give breath to the image of the first beast, so that the image could speak and cause all who refused to worship the image to be killed. [SUP]16[/SUP] It also forced all people, great and small, rich and poor, free and slave, to receive a mark on their right hands or on their foreheads, [SUP]17[/SUP] so that they could not buy or sell unless they had the mark, which is the name of the beast or the number of its name. [SUP]18[/SUP] This calls for wisdom. Let the person who has insight calculate the number of the beast, for it is the number of a man.[SUP][e][/SUP] That number is 666.

  Footnotes:
  1. Revelation 13:1 Some manuscripts And I
  2. Revelation 13:8 Or written from the creation of the world in the book of life belonging to the Lamb who was slain
  3. Revelation 13:10 Some manuscripts anyone kills
  4. Revelation 13:10 Jer. 15:2
  5. Revelation 13:18 Or is humanity's number
   
 20. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah! kwa jina la Mungu najihic kutetemeka .
   
Loading...