Uhaba mkubwa wa maji mji wa Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhaba mkubwa wa maji mji wa Moshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Beethoven, Jan 19, 2012.

 1. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu wadau ni wiki kadhaa sasa mji wamoshi umekumbwa na uhaba mkubwa wa maji ulioanza ghafla bila notisi au taarifa zozote kutolewa na mamlaka ya maji.Katika hali isiyo kawaida mgawo umekuwa unafanywa bila ratiba maalumu kwa maji kupatikana usiku na wakati mwingine hata baada ya siku mbili.Siku za nyuma mamlaka walikuwa wakitoa matangazo hata inapotokea kuosa maji kwa masaa kadhaa tofauti na sasa.

  Tulipofuatilia mamlaka hitoi majibu sahihi zaidi ya kusema ni upungufu na mafundi wanashughulikia.Kilichofanya kutuma uzi huu ni kutafuta ukweli kutokana na taarifa zilizosambaa kuwa maji yamepelekwa kwenye kiwanda cha bia Serengeti breweries na kusababisha hali tunayoipata.

  Swali kubwa ni kuwa kama ni kweli ni muendelezo wa uwekezaji wa dhuluma nchini unaowanyima haki watz maana hatuwezi kunywa,kuogea au kutumia hizo bia badala ya maji.Wadau mliopo Moshi wenye info zaidi tunaomba ili tuchukue hatua zitakazokuwa fundisho kwa mashirika na wawekezaji nchini.Maji ni uhai hata Misri walisema wako tayari kutangaza vita na yeyote atakaehatarisha flow ya Nile.Tuamke!
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata huduma katika hospitali ya mkoa zimesimama, maji hakuna. Na jua hili wanasema vyanzo vimekauka! Hima tuhamasishe upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira.
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwaserikali
  ya
  mzee
  wakuchekacheka,mtoza
  kwa
  uchafu
  na
  mtakufa
  na
  kiu.anakumbatia
  mafisadi
  nakusahau
  wazawa
   
 4. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Good point Measkron ila hoja ni kuwa kama hiki kiasi kidogo tulicho nacho wanapelekewa wawekezaji tuseme NO!Uhakika juu ya hili bado haujapatikana ila wawekezaji wana mitaji mikubwa kuchimba bore holes watuachie maji yetu.
   
Loading...