Malecela ameungana na watz wengi wanaolaani uandishi mbovu na wenye hila wa gazeti la Jambo leo.Amesikitishwa na kitendo cha gazeti hilo chochezi cha kuandika kuwa Nape alitaka yeye Malecela na...
Picha iliyowekwa ktk hili gazeti likionesha mwanaume mmoja makalio yakiwa wazi kabisa haikubaliki! Mamlaka husika tunasubiri "double standard" kwenye hili!! Kama nyie ni waungwana mtutake radhi KESHO!
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika...
Pamoja na kufiwa kwa familia ya sumari.j naambiwa mh wetu rais mtarajiwa edward lowassa nae anahusika na ukoo huo kwa niaba ya wana jf tunakupa pole mkuu mungu akutie nguvu katika wakati huu...
JAMANI WANAJAMII HABARI ZENU?
MTANISAMEHE, KWANI HII NDIYO THREAD YANGU YA KWANZA LKN INA HABARI NZITO KIDOGO. KUNA NDUGU YANGU ANASOMA DEGREE YA UZAMIVU UJERUMANI KWA USHIRIKIANO WA SERIKALI YA...
Privatus Karugendo
JANUARI 14, mwaka huu, ni siku ambayo ajali ya barabarani iliyakatisha maisha ya Regia Mtema, Mbunge wa Vitimaalumu kupitia CHADEMA, ilikuwa ni siku ya kukumbuka kuzaliwa...
Ni takribani miezi 6 tangu nilipomuuliza mwenye duka kwa nini hauzi sukari ya nje, 'Brazili' anauza ya Ilowo! Wakati sukari ya TZ ni ghali kuliko ya Nje. Alinijibu kitu ambacho sikukitilia maanani...
Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hakuna sehemu inayotamka rasmi kuwa kiongozi atayewajibishwa au kujiuzulu kwa manufaa ya umma anapoondoka kwenye madaraka ndani ya serikali...
Gazeti la Mwananchi leo limeandika habari inayosema kuwa Dr. Slaa alimkwepa rais JK jana kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema. Kwanza mwandishi anasema ilikuwa nyumbani ambako Dr. Slaa aliamua...
ndugu zangu mnaopenda kwenda kutafuta maisha botswana fikirieni mara mbili'serikali ya nchi hii imeonyesha wazi haitaki wageni hasa kutoka africa lakini kila siku wamekuwa wakipokea wageni...
Wana jamii
embu tuhabalishane mapema kama na ndugu yetu baba yetu mh sumari nae tunamuaga huko
alikopita dada etu regia tujiandae mapema tunaagaje ofisini ama tumefiwa ama mke anaumwa sana
ama...
Chama cha CCM kimeiagiza serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kutenganisha bizness na siasa akizungumza katika kipindi cha jambo leo tbc1 katibu mwenezi mtetezi wa wanyonge Bw Nape...
Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!
TUCTA WAMTAKA RAIS KIKWETE KUVUNJA BUNGE
CHAMA cha Wafanyakazi nchini (TUCTA), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mdai kwamba limeshindwa...
Hivi juzi yalitokea mafuriko jijini Dar na Serikali imejitahidi kuwatafutia viwanja MABWEPANDE ili wanaokaa mabondeni wakae sehemu salama.Lakini watu waliobomokewa nyumba wakati wa MABOMU YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.