Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pinda: Ni vigumu kupata mbadala wa Regia Makinda: Alikuwa mtu wa kuthubutu Mbowe: Alikuwa tunda la Chadema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitoa heshima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikundi cha mazungumzo cha Umoja wa Makanisa Tanzania kinachoundwa na Baraza la Maskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Jumuiya ya Kikiristo Tanzania (CCT), kimeishauri Serikali kutotia saini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Katika ukurasa wa kwanza wa gazeti hili leo kuna habari kuhusu posho za wabunge, lakini ndani yake Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akielezea kwa hisia kali tabia ya uvivu ya...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Wana JF,nipo safarini Shinyanga mjini. Kuna tangazo langu,lilitoka kwenye gazeti la Uhuru la jana 17/1/2012.Leo,nimelitafuta mji mzima gazeti hilo,nimelikosa. Naambiwa kuna gari la Polisi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
A Tanzanian tour guide, Athumani Juma, stands with Mount Kilimanjaro's Kibo crater in the distance. | Alan Boswell/MCT By Alan Boswell | McClatchy Newspapers KILIMANJARO, Tanzania — One of Mount...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa dkt Rose Migiro! Nini tafsiri ya kusema kuwa ni utani ya msemo wa "Mchimba shimo huingia mwenyewe"? Hvo unavyosema ndivyo viongoz wetu wanasema, tena wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni filamu iliyobeba UHALISIA Kabisaaaa.Kwa wasioijua itafuteni muiangalie Kuna FUNZO kubwa sana ndani yake.Zaid ya watu laki 8 walipoteza maisha ndani ya siku 100.Ilikuwa ukionekana na pua ndefu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu hali ikoje mpaka sasa kufuatia mgomo uliotangazwa na chama cha madereva wa malori Tanzania (Chamamata)? Kwa mujibu wa mwenyekiti wa chama hicho Bwana Rocket Matogolo based in Tunduma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama alivyokuwa Mh. Regia ndio vijana wote wanapashwa kuishi maisha ya kila siku, nashawishi uanzishwe mkakati ambao vijana wengi watafundishwa jinsi ya kulitumikia taifa. Marehemu alikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo na mwaka mpya Ndugu zangu wa jf, natumaini wote ni wazima wa Afya na mnaendelea na ujenzi wa Taifa lenu lililopoteza dira yake. Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada iliyonifanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuesday, 17 January 2012 21:27 Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza la aliyekuwa mbunge wa viti maalum (Chadema), Regia Mtema, wakati wa salamu na rambirambi za kumuaga rasmi...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wanajamvi,Jaman hii ni thread yangu ya kwanza kuianzisha ndani ya JF.kwa muda nimekuwa najiuliza ulazima uliokuwepo kwa Tanzania kusaidia ukombozi barani Afrika na juhudi hizo zimetugarimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau lini ni mwisho wa kufunga bendera Ya CHADEMA nusu MLINGOTI?MSAADA TAFADHARI
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi majuzi rais Kikwete ametangaza kujenga bomba kubwa la gesi kutoka Mtwara hadi Dar lengo likiwa kupunguza makali ya mgao wa umeme nchini. Kwa wale wasioijua Mtwara vizuri, ni asilimia 10 tu ya...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali pema Roho ya Regia Mtema. Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Nawasilisha hii ni kero iliyokomaa pale CRDB Mlimani City, Kumbe hata uwahi kiasi gani huwezi kupata namba za kwanza kwanza ili kukaa kwenye foleni ya kupata huduma ya...
5 Reactions
45 Replies
10K Views
Jamani wakuu kuna meseji nimeipokea toka Airtel inasema hivi, "Dear Customer, Jirushe Services will be stopped in a few days to come and will be replaced by a New and More exciting service...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mchango yakinifu....nilishuhudia msafara wa rais hivi karibuni....huwa unatanguliwa na pikipiki...halafu gari ya polisi kama mbili hivi ambazo zinapeana distance kubwa.....baada ya hapo...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu ili kutafuta wana Jimbo la Buyungu. Lengo ni kutafutana kimawazo na ushaur jinsi gan 2fanye ili kukomboa lile jimbo letu la Buyungu pamoja na Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Jamani hili lambo limenikera sana tena sijui kama linavumilika miongoni mwa watanzania walio wengi tena maskini kama mimi. jumatatu nilienda pale TRA Temeke kuomba kurenew driving licence yangu...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Back
Top Bottom