Jicho Pevu Karibuni Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho Pevu Karibuni Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jan 19, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ktk waandishi ninaowafagilia na kuwapa 100% ktk habari za uchunguzi ni KTN TV(JICHO PEVU) hawa jamaa wameiva kiuandishi,wapo tayari kupoteza maisha lakini kuikomboa jamii ya Kenya inayo umia na Madawa ya kulevya

  JICHO PEVU waliweza kuitikisa kenya kwa kuwataja hadharani wahusika wakuu wa madawa ya kulevya pasipo kumung'unya maneno ama kuyameza na sasa wanaandaa habari nyingine itakayo lipuka mda si mrefu,

  Hii ipo kinyume na waandishi wetu hapa TZ

  Ndio maana nawakaribisha wana JICHO PEVU kuja kutoa elimu kwa waandishi wetu jinsi ya kufanya habari za kiuchunguzi

  nadhani wana JICHO PEVU wapo humu wanasoma habari hii,tunawaomba mje mtoe mfano kwa kuchunguza habari ya madawa yaliyokamatwa kule mtwara ili tujue mbivu na mbichi

  Jicho pevu karibu tz

  KTN - Jicho Pevu Part 1 (The Untouchables) - Nov 2011 - YouTube
   
Loading...