Kulikoni CCM? Hata Rambirambi nayo....!!

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Kwenye mafuriko ya jangwanai Dar hivi karibuni CCM ilitoa ubani wa shlng mil 4 kwa wahanga huku CDM ikitoa Mil 25.Jana kwenye msiba wa Regia Mtema kule Ifakara CCM hawajatoa rambirambi wakidai watatoa baadaye wakajipange huku CDM wakitoa ml 15 kwa familia ya marehemu kama ilivyotangazwa na Zito Kabwe.

My take:Japo kutoa ni moyo,hii inaashiria kitu gani kwa jamii ikizingatiwa kuwa kumekuwa na malalamiko ya ccm kutumia kiasi kikubwa cha pesa kushinda chaguzi mbalimbali kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini?Anayetaka source kuhusu suala la rambirambi jana Ifakara asome Tanzania Daima ya leo ukurasa 2 kwenye maneno yaliyo chini ya kichwa kidogo cha habari ambacho ni mwendelezo wa habari kuu toka ukr 1 inayoongelea mazishi ya Regia Mtema "Spika amsifu marehemu"
 
duuu sasa huko tunaingia kwingine but unajua kuwa serikali imefilisika mojakwamoja na ccm haina pesa mkuu!
 
hiyo ni matakwa ya mtu binafsi....uwepo kwenye msiba una uzito kuliko rambirambi.pata picha ccm watoe mil 100 halafu hata kiongozi mmoja asiende kwenye msiba.ungesemaje?
 
jamaa walijitoa sana wapeni thanks, si unaona mpaka mnawachunia kwa kuwa front.
Manake michano ya bungeni ilikaa kushoto, uungwana ukawa mbele
 
Back
Top Bottom