Watanzania wanaofanya PHD ujerumani hali zao mbaya sana na wanahitaji msaada haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wanaofanya PHD ujerumani hali zao mbaya sana na wanahitaji msaada haraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JATELO1, Jan 18, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  JAMANI WANAJAMII HABARI ZENU?
  MTANISAMEHE, KWANI HII NDIYO THREAD YANGU YA KWANZA LKN INA HABARI NZITO KIDOGO. KUNA NDUGU YANGU ANASOMA DEGREE YA UZAMIVU UJERUMANI KWA USHIRIKIANO WA SERIKALI YA TANZANIA NA UJERUMANI. LKN HALI YAO IMEKUWA MBAYA SANA, KWANI SERIKALI YA TANZANIA IMESHINDWA KUWATUMIA PESA MPAKA SASA. HIVYO BAADHI YAO TAYARI WAMEFUKUZWA KWENYE VYUMBA NA HATA PESA YA KULA HAWANA KWASABABU HAWAJUTUMIWA PESA TOKA MWISHO WA MWEZI WA DECEMBER 2011. HIVYO, HALI ZAO NI MBAYA SANA, CHUONI MAMBO HAYAENDI NA WENGINE MPAKA SASA HAWAJAFANYA REGISTRATION KWASABABU NAYO INAHITAJI PESA. MBAYA ZAIDI, KUNA BAADHI YAO WANA FAMILIA ZAO IKIWA NI PAMOJA NA WAKE/WAUME PAMOJA NA WATOTO WAO.

  SOMA HIYO BARUA ILI UONE ADHA WALIYONAYO NAYO NDUGU ZETU HAWA. HIYO BARUA ILITUMWA TOKA JUZI KWA DVCs, PS WA WIZARA YA ELIMU, WENYEVITI WA VYAMA VYA KITAALUMA LKN MPAKA SASA INAONEKANA UFUMBUZI HAUJAPATIKANA. NA SERIKALI YA UJERUMANI, WAO PART YAO MKATABA WANATIMIZA BILA SHIDA YOYOTE.

  Deputy Vice Chancellor (Academics),University of Dar es Salaam, P. O. Box 35052, Dar es SalaamDeputy Principal Academics, DUCE,P.O. Box 2329 Dar es Salaam.Email: dpacademic@duce.ac.tzThe Deputy Vice Chancellor (Academics),University of Dodoma,P.O Box 259, Dodoma,dvc-arc@udom.ac.tzThe Deputy Vice Chancellor (Academics),Sokoine University of Agriculture (SUA),P.O. Box 3000, Morogoro, TanzaniaEmail: dvc@suanet.ac.tzMZUMBE, Prof. Josephat S. ItikaP.O. Box 1,MzumbeTel.255 023 260 4381/3/4Fax 255 (0) 23 260 4257E-mail: dvc@mzumbe.ac.tz, jsitika@mzumbe.ac.tzZANZIBAR, The Deputy Vice Chancellor,
  The State University of Zanzibar,
  P.O. Box 146,
  Zanzibar.
  Tel: +255 24 223 0724
  Fax: +255 24 223 3337
  E-mail: dvc@suza.ac.tz

  MUHIMBILI (MUHAS)Vice Chancellor
  P.O. Box 65001, Dar es Salaam,
  E-mail:
  vc@muhas.ac.tz


  Deputy Vice Chancellor (Academics),Ardhi University, P. O. Box 35176, Dar es SalaamDear Sir/Madam,

  RE: OVERDELAY OF OUR MONTHLY ALLOWANCES FROM TCU/MOEVT
  Kindly refer to the above heading. We are the employees of the University of Dar es Salaam, DUCE, Dodoma, Sokoine, Mzumbe, Zanzibar and the Open University of Tanzania pursuing doctorate degrees in Germany under co-sponsorship of Ministry of Education and Vocational Training (through Tanzania Commission for Universities) and German Academic Exchange Programme (MOEVT-DAAD). The scholarship contract stipulates that DAAD pays 20% of our stipend and MOEVT pays the remaining 80%. DAAD transfers the amount into our personal bank accounts every beginning of the month; and MOEVT in three months instalments.

  We write to bring to your attention the challenges; we as scholars under this cooperation agreement are encountering on the implementation of the contract terms, with hope that you will assist us in communicating our problems to the relevant authorities. The distance between us and the authorities at home makes it impossible for us to make a close follow up of the matter.

  There have been recurring delays in disbursing the stipend from TCU into our accounts despite having discussed the problem several times with the responsible coordinators (TCU).Please note that, the first instance occurred in September 2010, when our three months instalment for October 2010 to December 2010 was delayed up to 15[SUP]th[/SUP] October 2010; and another delay for June 2011 to September 2011 instalment which was affected as late as 12[SUP]th[/SUP] June 2011.

  We would like to bring to your attention that we have not yet received the three months stipend instalment from MOEVT for January 2012 - March 2012, which was supposed to be disbursed into our bank accounts by the end of December 2011. We have communicated with both MOEVT through TCU and DAAD concerning this problem though we have not received any comprehensive response so far. In our previous discussions over the delays, TCU promised that the delay would never happen again: and hence, that it has now recurred suggests that the sustainable solution is not yet realized.

  As we are writing this letter, we are facing hardship and embarrassment of living without money to meet our basic needs such as food and inability to meet our basic monthly bills. As a result, landlords have already started taking measures against our rent defaults, and such measures do not exclude possibilities of eviction. As we are now in winter season, eviction could be fatal. As you might be aware, some of us are accompanied by their families and are now in the middle of January without any financial security for their lives. Moreover, others have been given deadlines by their landlords to pay their bills; failure to comply would lead to the calling of debt collectors.

  We therefore kindly ask you to help us solve this problem; as we are confident that you are in a position to do so and therefore enable us to concentrate better on our studies.

  We remain sincerely,

  TCU-DAAD scholars

  cc. Tanzania Commission for Universities
  P. O Box 6562, Dar es Salaam.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  poleni sana ..ujumbe utakuwa umeshafika ..wajaribu kuwasiliana hata na waandishi wa habari.
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  TRA wanajıgamba kuvuka malengo ya ukusanyajı kodı kwa mwezı wakatı huo huo Taasısı mbalımbalı za Serıkalı zınalıa kwa ukata, sıjuı kıtu ganı kımefıchıka nyuma ya pazıa. Nı bora Serıkalı ıwe wazı.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wamesema wanajaribu kuwasiliana na waandishi wa habari lkn tatizo hawana mawasiliano ya wahariri wa magazeti.
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ni kweli ndugu yangu. Hao Vijana wanateseka sana, hasa wale waliokwenda familia zao na mbaya zaidi Serikali ya Ujerumani wao wanatimiza matakwa yao kwenye mkataba kama kulipia Insurance, gharama za vyuo na hata hiyo 20% ya stipend yao. Na DAAD, nao wanasema hao Wanafunzi wawasiliane na Serikali yao, kwani wao wamejitahidi sana kuwasiliana na serikali ya tanzania lkn hawapi ushirikiano.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  mwananchi
  [​IMG]
  +255 788 455234

  [​IMG]
  beda.biswalo

  jmihangwa@yahoo.com


  +255-713526972

  mjengwamaggid@gmail.com  +255-754678252
  +255-712956131

  hizi ni baadhi ..halafu waambie hao jamaa wajiunge JF .watapata misaada kwa urahisi zaidi.
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,205
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Hata wanaosoma hapa Tanzania kwa ufadhili wa Vyuo vyao kupitia Bodi ya Mikopo (Masters na PhD) wengi wao hawajapewa pesa tangu wafungue Chuo Oktoba mwaka 2011. Wale wanao fanya utafiti nao hawajapewa pesa za utafiti huku wakitakiwa kuwa na GPA zisizopungua 4.0 ili kuendelea na ajira. Hii ndio Tanzania bwana
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana ndugu yangu. Ngoja niwatumie hizi contact sasa hivi. Pia nitawafahamisha uzuri wa JF ili waweze kujiunga.
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Waende wakakope pesa ubalozini pale Berlin, harafu waagize pesa zao zitumwe ubalozini na balozi kupata fursa ya kukata kiasi cha fedha walichowakopesha na salio ndo watapata.

  Regards
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Hali ya Hazina ni tete! Hata mishahara tabu! Humu kuna wanahabari wengi watasaidia wanavyoweza.poleni ughaibuni balaa ati!
   
 11. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  sasa wao hali mbaya sana si unajua nchi za watu ni tofauti na mazingira ya hapa kwetu.
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Sijui Berlin kama ubalozi wetu una watu wazuri maana balozi nyingine shida zako zitaishia kwa secretary!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  kwenye mabalozi kuna watoto wa mafisadi wana roho mbaya kama nini
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Membe yupo humu kama guest lets hope atasaidia!
   
 15. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ubalozi wa Berlin wako poa, wanasikiliza sio mafisadi kama ni mafisadi basi ni mafisadi dagaa. Wanaweza sumbua kidogo lakini si kwa sababu ya ufisadi bali ni tamaduni yetu tuliojijengea ya kwamba lazima ua-prishieti kwamba yeye ni bosi.
   
 16. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ubalozi wa Berlin wako poa, ukiomba kukutana na balozi akiwepo utakuna naye asipokuwepo watakwambia njoo siku fulani.
   
 17. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  sawa mkuu.
   
 18. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndo serikali ya Jk ilivyoshindwa kufanya kazi
  ni lege lege kweli
   
 19. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wamesema wanawasiliana na Ubalozi usiku huu ili iwasaidie na ikishindikana labda weekend watahamia ubalozini, kwani mpaka weekend wengi wao watakuwa wameshafukuzwa kwenye vyumba. Baadhi yao walishapewa barua ya kuwataka walipie vyumba ikiwa na penalti na kama ikishindikana kulipia kwa muda waliopewa mpaka weekend, nao watatolewa kwa nguvu na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria wakidaiwa na gharama itakuwa kubwa zaidi.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  poleni sana wasomi wetu
   
Loading...