muswada wa kutenganisha biashara na siasa kutinga bungeni kikao kijacho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

muswada wa kutenganisha biashara na siasa kutinga bungeni kikao kijacho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jan 19, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chama cha CCM kimeiagiza serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kutenganisha bizness na siasa akizungumza katika kipindi cha jambo leo tbc1 katibu mwenezi mtetezi wa wanyonge Bw Nape Nnauye amesema kuwa muswada huo uko tayari na utawasilishwa katika kikao kijacho cha bunge.lengo la muswada huo ni kuwaweka mbali wafanya bizzness na siasa ili makabwela waendeshe siasa na uongozi big up sana kwa hili nasubiri kuona wabunge wa buzzness watakavyoreact!!
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Tunawatakia heri, wanaweza kuanzisha kumalizia ni fupa gumu kwao.
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  hapo anatafutwa kufilisiwa mbowe na ndesapesa.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  in red,is that a f***ing joke?get serious lady
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuwatumia wanasiasa-wafanyabiashara
  kama "daraja" kufika kwenye nafasi ya juu ya uongozi naona sasa ana-engineer uvunjaji wa madaraja!
   
 6. P

  Peter Nyanje Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muswada utafaidisha nchi kama ukienda sambamba na mabadiliko makubwa katika sheria ya maadili ya umma.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hawa ccm nao kwa kauli mbiu hawajambo.
  viongozi wa ccm ndio haohao serikalini,yaani walivyo wajinga unapiga pasi ndefu kama kiongozi wa chama halafu unaikimbilia bila mafanikio kama kiongozi wa serikali unashindwa kuifkia unalalamika.

  ukiitwa zuzu unalalamika.
   
 8. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni fikra nzuri lakini inahitaji muda kuiunda. Umepita muda mrefu tangu bizznesss kutumika kulea chama, sasa wasikurupuke kuingia chumba kipya wakati hakuna hewa. Ni wazo zuri sana naliunga mkono kwa asilimia 100 ili fursa ya ushindani sawa wa biashara upatikane na pia viongozi wetu wawajibike kwa asilimia 100 kwenye kutumikia nchi
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nape anafaa kupewa nafasi kubwa kwa siku za baadaye anaendelea kupikwa big up chama chetu
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  labda.
   
 11. M

  Malabata JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanapaka upepo rangi hawana jipya
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wanataka kutudakisha upepo wapuuzi hawa
   
Loading...