Gazeti la Mwananchi na Habari ya Kiudaku kuhusu Dr. Slaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Mwananchi na Habari ya Kiudaku kuhusu Dr. Slaa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chigwiyemisi, Jan 19, 2012.

 1. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Gazeti la Mwananchi leo limeandika habari inayosema kuwa Dr. Slaa alimkwepa rais JK jana kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema. Kwanza mwandishi anasema ilikuwa nyumbani ambako Dr. Slaa aliamua kujichanganya na wabunge badala ya kukaa sehemu ya watu maalum, hata hivyo JK hakuwepo.

  Mara ya pili ni baada ya kwenda uwanjani pia Dr. hakukaa sehemu maalum na JK hakuwepo vile vile. Ukiisoma kwa undani habari hii utagundua kuwa imeandikwa kiudaku sana!

  Naliheshimu sana gazeti la Mwananchi lakini naona sasa linazidi kupoteza Credibility kadri siku zinavyozidi kwenda. Kama hata rais hakuwa jukwaani ni nani alimkwepa mwenzie?

  Mwananchi jirekebisheni kabla hamjaharibika zaidi!
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Duh hivi wengine wetu hatukusoma jinsi ya kuandika insha!
   
 3. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu kulikuwa na kosa la kiufundi kidogo, imesharekebishwa!
   
 4. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  slaa hakumkwepa JK bali walikwepana maana JK hakutokea kwenye both occassions!
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Ulitaka ahudhurie misa kanisani?
   
 6. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 880
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kwa takribani wiki nzima, The Citizen na Mwananchi zimekuwa kama Uhuru.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wizi mtupu,kwanini kukaa na mwizi meza moja?
   
 8. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 880
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Itakuwa siyo vibaya wala siyo mara yake ya kwanza kushirikiana na wakristu kiibada. Ni wewe tu Baru2 unayoona haiwezekani
   
 9. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  habari ya mwananchi imekaa kiudaku udaku .....bora habari ingekuwa inauliza lakini imeonekana kuwa ya uhakika, kikwete ndo alimkimbia dr slaa iko wazi kwa sbabu sehemu nyingi alizokuwa slaa kikwete hakuwepo
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mwananchi li mbioni kuitwa "Habari mwayaaaaaaaa"
   
 11. W

  WildCard JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hapana. Angalau pale Karimjee ambako mazishi ya KITAIFA yalifanyika. Ratiba aliifahamu. Akakimbilia Morogoro kufungua jengo la CAG ambalo hata DC wa Morogoro angetosha kuifanya kazi hiyo.
   
 12. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Slaa kaingia mitini. Anamuogopa jk.
   
 13. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  JK ana majini aliyopewa na Sheikh Yahaya ili yamlinde sasa wakikutana na Dr. Slaa ambaye amefanya CCM kudharaulika mbele ya watanzania itakuwa nomaaaa! Kwani Dr. Slaa asije akapata tatizo lisilotibika hata pale CCBRT!
   
 14. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ukanjanja
   
 15. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Aagh! Yaani ata Mwananchi wanacopy na kupest habari ambazo hazikufanyiwa utafiti na zilizoletwa kama tetesi kwenye forum hii na mnazi maarufu(PASCO) wa Lowassa na CCM?
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jk kajipendekeza kwenye msiba haukumhusu.
  Aache kulazimishwa kupenwda.
   
 17. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wazeiya mimi nilikwisha acha kabisa kununu magazeti ya nchi hii maana habari zilizoko huko kuhusu hii nchi zinaweza kukupunguzia hata siku zako za kuishi . mara hoo fulani kakwapua mabilioni na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa sasa yanini kujua story kama hiyo unaumia tu roho kwamba linchi linaendeshwa kama hakuna viongozi yaani ni kama makondoo wasio na mchungaji ovyo ovyo kabisa sasa mastresi yote ya nini?
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  Hehehe .....
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi watu wanaenda misibani kwa ajili ya kushiriki shughuli za misiba ama kwa ajili ya kuonana na raisi kushikana mikono?Hebu waungwana nisaidieni maana mimi hapa napata shida sana.
   
 20. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  waandishi wanapenda siasa, wanajf wanapenda siasa, wananchi wanapenda siasa, yaani kila mtu siasa, eti kwa mtaji huu tupate maendeleo? Hivi haya magazeti yamekosa habari zinazohamasisha maendeleo zaidi ya siasa? Kwa nini watu siasa imeshaweka kansa kwenye vichwa vyetu? Kila mahali ni ushabiki wa siasa tu, sasa watu hatuongelei kitu kingine zaidi ya siasa, hivi ni nani katuloga na hii kitu inaitwa siasa. Siasa siasa siasa siasa siasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...