Mh sumari kuagwa karimjee na yeye?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh sumari kuagwa karimjee na yeye??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 19, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Wana jamii
  embu tuhabalishane mapema kama na ndugu yetu baba yetu mh sumari nae tunamuaga huko
  alikopita dada etu regia tujiandae mapema tunaagaje ofisini ama tumefiwa ama mke anaumwa sana
  ama ninaharisha kuliko kushtuana wapendwa mwenye update za msiba atuhabalishe

  mungu awape nguvu na uvumulivu familia ya mzee wetu hasawakati huu mgumu

  bwana ametoa bwana aemtwaa jina lake lihimidiwe
   
Loading...