Riport ya uchunguzi: Spice Islanders

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
Meli ilipakiza watu zaidi ya 2500

Watu 900 waliokolewa

Watu 250 walikufa

Watu zaidi ya 1300 hawajaonekana mpaka sasa

Sos:ch10 habari
 
Mungu wangu,,,, Tanzania nchi yangu, nakupenda tanzania,,,,, utungu unanishika nikitaka kuchangia hii post,,,, sijui nianzie wapi,,,
 
Nimeshindwa kuelewa mapendekezo yaliyotolewa, inakuwaje wafanyakazi waliohusika wa bandari wenyewe wachukuliwe hatua za kinidhamu (Wakati ndo watendaji wa kila siku hapo bandarini) af wanamiliki wa meli wachukuliwe hatua za kisheria!?
 
Sasa kuna 50 what's their fate, tume haikufanya homework yake. Ukihesabu kuna watu hamsini unaccounted for leave alone the fact that Melissa ilipakia zaidi ya watu 2,500.
 
aisee... ile ingine walikufa 29, ona vile dunia imetikisika....
 
Back
Top Bottom