Video ya gari iliyomuua Regia Mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya gari iliyomuua Regia Mtema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chenge, Jan 17, 2012.

 1. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hapa ni kuzidi kutuongezea machungu.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nashurukuru kwa video chenge
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  .......................... Thanks For the Video!!.........................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tafadhali omba radhi kabla sijakushughulikia
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Aksante kwa picha!
  Sasa hivi any picture or video counts!
   
 8. L

  Lung'wando Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatuonyesha Video ya ajali yenyewe au ya msibani pale?
   
 9. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwani hujaona video ya gari au computer yaho kimeo?
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  dooo!yaani umekitonesha kidonda upya
  jamani tuandaeni makazi ya kudumu huko mbinguni
   
 11. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  inatisha sana inaonekana mzinga ulikuwa mkubwa mno, vipi naskia kuna mbunge mwingine naye ametangulia mbele ya haki? nilizani naye ningemuona humu j/f kama ya marehemu dada yetu? yeye hakuwa mfadhili wetu?
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,388
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  kwa ni yeye ni mtu??
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sijaingalia...
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,388
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  watanzania amchelewi kuiingiza kwenye soko
  kumbukeni na ile familia basimkipata chochote jaamani mpwa wangu chenge kazi nzuri
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,388
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  na wewe jamani hii jf unameza
  ukilala unatema kesho mnaanza kulipuana upya kazi nzuri mpwa wangu nikutafute kwenye namba gani
  nashauri kava yake uweke rangi za chadema tunahakika ya kupiga kazi nzuri m nina vibanda vya kuuzia mikanda vitatu pm faster kwa makubaliano kila 2 perc iende kwa familia
   
Loading...