Marehemu!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!
 
Marehemu alikuwa mtu hodari, mchapa kazi, mzalendo, mpenda watu, mtu makini, mpole, mkarimu, mwenye hekimu na busara, mtiifu, mchangamfu, mtanashati......!!!!!!

Kweli mkuu,

Hata mie nashindwa kuelewa

Hii ina maanaa kwamba, Tanzania hakuna marehemu ambaye alikuwa na sifa tofauti au kinyume na hizo.....

Sasa kama watu wote wako hivi, wezi, mafisadi, vibaka, wazinzi/washerati, wachovu/wavivu ni akina nani?? Au wanakuwa na sifa hizo ila zinatoweka mara tu baada ya kufa!!
 
Ni kawaida kutoa sifa ingawa kwa kweli huwa ni unafiki. kwani hata mtu yule ambaye walikuwa hawaelewani, utamsikia anatoa sifa nzuri. huu ni unafiki
 
Hivi kwa nini marehemu anamwagiwa sifa nyingi na nzuri hata kama alikuwa mtu mbaya?
 
Back
Top Bottom