Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu akutie nguvu rais wetu mratarajiwa mh lowassa kwa msiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 19, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,223
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kufiwa kwa familia ya sumari.j naambiwa mh wetu rais mtarajiwa edward lowassa nae anahusika na ukoo huo kwa niaba ya wana jf tunakupa pole mkuu mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu

  bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe

  kubali kataa hiyo ndio halisia presidaa wetu mtarajiwa kafiwa tufanyaje jamani
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,287
  Likes Received: 692
  Trophy Points: 280
  Hilo Fisadi litakuwa rais lako peke yako khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kubali kataa hiyo ndio halisia
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  Kwa niaba ya wana-JF?!
  Uwe unafanya timing,Pasco keshakuwahi na rambirambi kuleee!
   
Loading...