Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, nilishaleta thread hapa kuelezea kero zitokanazo na TANESCO, kwa bahati mbaya sikupata michango ya kutosha, nikaamua kuwatafuta watu nje ya Jamiiforums kuzungumzia kero hizi za TANESCO...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Gharama za Umeme nchini zimepanda tangu tarehe 15 Januari, 2012. Tanesco walitaka kupandisha kwa asilimia 155 kwa hati ya dharula lakini EWURA wamepitisha zaidi ya asilimia 40 kama ongezeko. Je...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
A belt of coastal water extending at most 12 nautical miles(22km) from the mean low water mark of a coastal state also regarded as sovereign territory of a state. Question: Why now? Why the...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Mwenzenu taarifa hii ya Tanesco imenishtua usingizini ndo nimegundua kwamba wananachi wa kawaida tunalipia umeme mara mbili zaidi kuliko wawekezaji migodini. Hivi hii ni akili au matope??? Tanesco...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania is an east African nation with a long coastline along the Indian Ocean. The country shares borders with Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, the Democratic Republic of Congo, Zambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
napenda kujua hapa bongo watumishi wa kada ipi ndio wana maisha mazuri,eti nasikia maticha hoi na tra juu. kwa nini lakini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jk ameshindwa kuzindua umeme unaopita Kwa Kakobe kwa taariha kwamba hauwaki na mpaka sasa matengenezo yanaendelea kwenye nguzo 19 kwa miaka 2 sasa
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu kuna hii kampuni ya kigeni inaitwa ARAMEX ambayo makao makuu yake ni Amaan Jordan, ilifanya recruitment ya kutoa ajira kwa vijana wa Kitanzania mwishoni mwa mwaka jana after long prosess ya...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kama ni kweli: Je, hii inaleta tafsiri gani kwa next generation? Pia, kama tutapata %kubwa ya viongozi serikalini, pata picha Bunge litakuwaje? Maofisini je?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni zaidi ya miezi 11 tangu milipuko ya mabomu ya GONGOLAMBOTO itokee.Lakini serikali haijawajengea nyumba waathirika wala wale WALIOPOTEZA VIUNGO kwa uzembe wa Serikali.Cha kushangaza wamepewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni matokeo ya tume
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja. Aliyetoa ripoti hiyo kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SubalKheri wana jamii. Jamani mwenzenu ninatatizwa na hizi gharama kubwa ambazo serikali inaziingia kujenga daraja la Kigamboni kama zina ulazima wowote. Ni kweli kuwa muwekezaji ambaye ni NSSF...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Jaman mamlaka ya maji mosh vp? Leo ni siku zaidi ya tano maeneo mengi mjin moshi hayana maji. Leo ni siku ya tatu binafsi kabla sijaenda kwenye mihangaiko yangu naishia kupiga passpot size badala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono...
14 Reactions
221 Replies
22K Views
Wana Jf nimekutana na hii habari nikaona ni hatua nzuri iliyochukuliwa na manispaa ya Arusha kuelekea kwenye miji iliyopangwa na kufanya mji huu kuwa kuvutio cha utalii. Big up kwa uongozi wa jiji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF? Naomba ku-share nanyi machungu ambayo TIGO wamekuwa wakinisababishia. Nimekuwa mteja mwaminifu wa kampuni hii tangu mwaka 2000 (enzi hizo ikiitwa BUZZ). Kiukweli nimefurahia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari za asubuhi wana jf,nikiwa maeneo ya ubungo ghafla bini vuu linanyesha bonge la mvua,tumuombe mungu isizidi na kuleta mafuriko
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sent: Friday, 20 January 2012, 8:02 Subject: UHALIFU MPYA - KAA CHONJO Wandugu, Nimepata pepe hii toka kwa rafiki mmoja. Sina sababu ya kutoamini au kutilia shaka tarifa hii kuh "ubunifu" huu wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom