Gazeti Jambo leo mtuombe radhi kesho!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Picha iliyowekwa ktk hili gazeti likionesha mwanaume mmoja makalio yakiwa wazi kabisa haikubaliki! Mamlaka husika tunasubiri "double standard" kwenye hili!! Kama nyie ni waungwana mtutake radhi KESHO!
 
kibaya zaidi nimeshuhudia watoto wa shule ya msingi wakiitana huku wakicheka huo upuuzi front page!! Mnastahili adhabu na tena huyo mtu awafungulie mashtaka! Mtu pensi imemvuka kwenye ugomvi unaweka gazetini!
 
  • haina shida so long ujumbe umefika
  • kama lengo lao ni kuelimisha,kukosoa na konyesha matukio halisii, inategema gazeti hilo lilianzishwa kwa lengo gani nk, unalalamika makalio tu je hayo yanayochapisha picha za watu wakiwa uchi?
    kibaya zaidi nimeshuhudia watoto wa shule ya msingi wakiitana huku wakicheka huo upuuzi front page!! Mnastahili adhabu na tena huyo mtu awafungulie mashtaka! Mtu pensi imemvuka kwenye ugomvi unaweka gazetini!
 
Haya ni madhala ya kuangalia WWE.unaona huyu mwenye masaburi nje alivyo mkwida jamaa kama john cena?
nmependa hii style ya roba.jamaa nae kang'ang'ania makagare. mia
 
Halafu nasikia hili ni gazeti la SERIKALI,sasa naamini serikali yetu imeruhusu ushoga, na unanadiwa live na gazeti lake hili.
 
Kweli kikwete kama umeshindwa kulea wanao utawalea watanzania. Wana milikik magazeti ya kihuni
 
Picha iliyowekwa ktk hili gazeti likionesha mwanaume mmoja makalio yakiwa wazi kabisa haikubaliki! Mamlaka husika tunasubiri "double standard" kwenye hili!! Kama nyie ni waungwana mtutake radhi KESHO!
Mumiliki wa Gazeti Unamufahamu???, Je aliwahi kukemea hotuba ya David Kameruni???

Kumbuka kuna wakati gazeti la sema usikike liliandika Waziri mkuu wa zamani amuweka Mbunge Kimada!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom