Botswana hawataki wageni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Botswana hawataki wageni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ballot, Jan 19, 2012.

 1. Ballot

  Ballot Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu mnaopenda kwenda kutafuta maisha botswana fikirieni mara mbili'serikali ya nchi hii imeonyesha wazi haitaki wageni hasa kutoka africa lakini kila siku wamekuwa wakipokea wageni
  Kutoka india na china bila matatizo
  Kupata resdence permit na trading licence
  Imekuwa ni ndoto kwa wageni'nafikiri nimeanza kufikiri kurudi nyumbani'sielewi future yangu itakuwaje
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We ni expertriate au unataka trading Licence kuuza yeboyebo kama wachina wa kariakoo?
  Kwetu pazuri jamani...
   
 3. Ballot

  Ballot Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutaondoka tuwaachie ukimwi wao'wamezidi ubaguzi
   
 4. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Poleni bana, unajua nchi za wenzetu wanataratibu ambazo zinawaongoza, hawaishi kama sisi tunavyoishi mgeni ajulikani na mwenyeji hajulikani, ukimtibua mwenye mamlaka dakika unaambiwa si raia
  Fikiria wapakistani wametoka kwao wamefanya kazi kwa kipindi kirefu hawana ID, wala leseni, wahindi ndo kama wako mumbai, wachina ndo usiseme, wasomali kila kona, wapemba na waunguja kila engo.
  Wazee wa itelijinsia wao wanadili na CDM tuu.
   
 5. Ballot

  Ballot Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the hunter mbona umetaja wapemba ina maana wao sio watanzania?
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  safi sio serikali ya jk inayoruhusu mchina kuja kuuza karanga huku,walalahoi watafanya nini kama sio kuwa wezi?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,445
  Trophy Points: 280
  home sweet home ..ubaguzi ni kitu kibaya kaka. I know how you feel guys
   
 8. Ballot

  Ballot Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  saint ivuga kumbuka maneno ya biblia mungu alipowaonya wana wa israel wasiwatende vibaya wageni waishio kati yao kwani wanajua moyo wa mgeni ulivyo!inauma japo tunakomaa lakini noooo
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole mkubwa! Mbona hata hapa home nafasi za kuwekeza zipo tatizo mitaji tu! Na kama una hulka ya kukaa ughaibuni jaribu Rwanda inategemea unafanya nini kwa sasa.


  Welcome back home,mkuu.Matatizo ni yetu,usijali uvumilivu tu.
   
Loading...