3squere
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 925
- 181
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika wakati waliokaidi wanajuta.
Mfano wa misimamo ni:
- DECI alisema kuwa ni kamari kutoka kusimu wengi walikataa lakini ukweli ukajulikana.
- Kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo akasema hakitoki kwa Mungu ni kumwabudu shetani lakini wengi hawakusikia wakasema ni hofu ya kukimbiwa na washirika lakini ukweli ulijulikana, wengi wamekufa na wengine kuwa hoi kuliko mwanzo.
Sasa kwa hayo machache, tunahitaji mawazo ya mtumishi uyu kwaajili ya maendeleo ya TANZANIA