MTAZAMO WANGU TUU SIJUI WADAU MNAONAJE,KAMA SISI NI NCHI MOJA NA ZANZIBARI IMETAWALIWA NA WAZANZIBARI TUU SINCE THEN NAFIKIRI NIWAKATI SASA WATANZANIA BARA KUPEWA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI...
A,alaykum. Nawatakia ijumaa njema. Wanajamvi wenzangu wote na Watanzania kwa ujumla. M/MUNGU Atujaalie kila la kheri na mafanikio katika maisha yetu ya duniani na Akhera. Atuondoshee balaa, nuksi...
Amani iwe kwenu wana Jf wote.
Kilio changu leo nakirudisha kwetu wenyewe watz kuhusiana na hali ya maisha yetu kuzidi kuwa mbaya.
Tukiangalia swala la umeme lipo wazi hakuna mtanzania anayepata...
Hii kauli nimeamua kuisema kutokana na michango ya viongozi mbalimbali hapa duniani ambao wamekufa na kauli zao bado zipo hai,na pia viongozi hai ambao kauli zao ni za kuua Mataifa yao na zisizo...
Duh!! kweli kashata za Ikulu tamu maana NCCR walipanga kuandamana kupinga kupanda kwa bei ya umeme, Baba Riz akaona isiwe inshu hawa wana hamu na kashata akawaambia wakamuone Ikulu wakaahirisha...
Nchi yetu haina vita vya mtutu lakini udhaifu wa serikali unaifanya nchi inakuwa si salama na madhara wananchi wanayopata hayana tofauti na vita vya mtutu tu. huwezi amini, maziwa ya watoto...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki
Serikali imetoa siku 14 kwa wakazi waliorudi katika maeneo ya mabondeni jijini Dar es Salaam baada ya kukimbia makazi yao kutokana na mafuriko...
Wanabodi,
Nimepata nafasi kuhudhuria msiba hapa nyumbani kwa Jeremia Sumari.
Kama ilivyo kwa Regia, hapa kwa Sumari ni vivyo hivyo, viongozi wa vyama vya upinzani wameungana na viongozi wa...
Picha Kushoto:
Msafara wa naibu waziri wa tamisemi Aggrey Mwanri ukipita eneo ambalo wanafunzi walikuwa wakilima
Picha Kulia:
Mwalimu wa shule ya msingi Luilo kata ya Lifua wilaya ya Ludewa...
Wanajamvi poleni kwa majukumu ya wiki nzima mpaka leo tunaianza wkend,naamini kwa wengine wkend huwa ndefu sana na wakati mwingine pia ikionekana ni fupi kupita maelezo kwa baadhi yetu..yote kwa...
Kuna kipindi enzi zile RTD kilikuwa cha kuhamasisha kula kilikuwa kikianza na wimbo kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa,,,,na kujenga nyumba safi pa kulala pawe boraa!! Cku hz akipo au ni mambo...
KULNGANA NA GAZETI LA HABARILEO LA TAREHE 19 JAN 2011, TANZANIA imewasilisha ombi katika Umoja wa Mataifa (UN), kudai eneo la nyongeza lenye ukubwa wa maili 150 nje ya eneo la sasa la maili 200...
Mimi ni Ngambo Ngali, Senior expert member wa JF, mwaka 2012 dunia yako chaguo lako.
Nachagua kuwa na taifa la watu wasomi, nachagua kuitaka serikali kuwalipia Ada ya vyuo vikuu wore...
Mara nyingi napoangalia taarifa ya Habari huwa nashangazwa,kinachonishangaza ni pale wanapotangaza habari za A.mashariki,mi huwa naona wanatangaza yanayojiri Kenya tu,lakini Uganda,BURUNDI,NA...
Wanajamvi poleni kwa majukumu ya wiki nzima mpaka leo tunaianza wkend,naamini kwa wengine wkend huwa ndefu sana na wakati mwingine pia ikionekana ni fupi kupita maelezo kwa baadhi yetu..yote kwa...
Nilipokea na nilsikitika niliposikia kifo cha Mbunge kijana Bi Regia Mtema sikusikitika sana juu ua kifo cha Msumari kwa sababu simjui pia amekula chumvi nyingi sana namwombea tu apumzike kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.