Za'bar wamethubutu kuwajibisha wazembe wa Mv spice? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Za'bar wamethubutu kuwajibisha wazembe wa Mv spice?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Jan 19, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ktk habari ITV ya saa 2 wameripoti kuwa kamati iliyoundwa kuchunguza ajali ya mv spice imeshahuri wenye meli na viongozi wa serikali waliohusika wakamatwe, imeripotiwa kuna baadhi wamekwisha kukamatwa je? hii ni danganya toto kama tulivyozoea huku bara ama wanadhamiria kuwawajibisha? Pia kamati hiyo imeshauri kwa wenye meli hiyo kulipa fidia kwa waliopoteza ndugu zao milioni 10 kwa kila familia , milioni 7.5 kwa waliopata kilema na madhara mbalimbali na milion 5 kwa walionusurika
  nawasilisha
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  wakimwajibisha waziri wa miundombinu wa SMZ, ambaye nilisikia ni wa KAFU, nitaamini kama WAMETHUBUTU, WAMEWEZA na WANASONGA MBELE.
   
 3. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KAFU = CUF
  Soma signature chini hapo.
   
 4. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe umeambiwa matatizot yako hayatopata ufumbuzi bila ya kuitaja CUF/KAFU! Funguka kijana kabla wenzako hawajakuona bwegee!
   
Loading...