ITV LIVE: mada..kitambaa cha taifa je kiwe cha aina gani.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV LIVE: mada..kitambaa cha taifa je kiwe cha aina gani.?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leonard Robert, Jan 19, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  mjadala unaendelea live na hoja ni kama inavyosomeka hapo juu..
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  bado mkanganyiko wa kitambaa au vazi umejitokeza.
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  mwanachuo apendekeza, batiki,kanga na kitenge na mchanganyiko wa shanga kunogesha.
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  mwingine apendekeza nguo ya magome ya miti kutoka bukoba.
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  mwingine pamba arejea uvaaji wa mababu zetu..mugorole pia kuna abudant of pamba
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  mmoja achemsha eti vazi la kwao bob marley wa zimbabwe..
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  viwanda vyalalamikiwa lakini kuhusu makabila kuhusiswa..eti wengine ni waamiaji..kama wangoni hivyo mchango wao si muhimu kwenye vazi la taifa.
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  wengine kiwe na rangi nyeusi na kijani..
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hivi changamoto muhimu zote zimeisha hapa Tanzania, mpaka tunaingia kwenye mchakato wa kutafuta vazi la Taifa? hatuna kitu cha kufanya? maji yapo? barabara zipo? shule je? hospital? madawa na huduma za afya? umasikini uliokithiri? wote wanaojihusisha na upuuzi huu ni wapumbavu!!!!!
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  kuna upotezaji wa muda lakini hatuna budi kuzunguka nalo ili gurudumu
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  twende mbele na kurudi nyuma...hivi miaka hamsini ya uhuru leo tunachoma pesa kutafuta vazi la taifa?? hatuna history??
  katika ulimwengu huu wa utandawazi na familia za kichotara zenye mila na desturi tofauti naona kama hilo vazi litaishia museum.
  je kitu cha asili unaweza kukibuni baadae na sio kukikuta na kukirithi?
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama wanasikia huko, gwanda la CHADEMA linatosha sana tena litaitambulisha vema nchi yetu kuwa ya watu wasiotaka mzaha, kazi-kazi!

  Hebu baelezeeni!
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  kuna ka kaukweli.
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  huu mdahalo umenifumbua macho..VAZI AU KITAMBAA CHA TAIFA HAKIWEZI KUPATIKANA NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU NYINGINE.naomba mninukuu.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mjadala wa kijinga tuna shida na changamoto nyingi!! Ningefurahi iwapo watajadili kwanini umeme umepanda zaidi ya 40%
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hicho kitambaa kitasaidia upatikanaji wa katiba mpya?

  Au kitaongeza madawa hospitalini?

  Na madawati mashuleni?

  Kitaboresha mazingira ya walimu na watumishi wa umma?

  Au kitasaidia kushusha thamani ya $?
   
 17. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni uwendawazimu kutafuta vazi la taifa.....................
   
 18. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mambo ya mzaha mzaha ndio clouds wamo , ujinga mtupu ,lini watakaa kuunda structure ya bishara ya burudani na michezo angai itaboresha vipato vya wenye vipaji?
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  bhaeleze habho.
  Gwanda linatosha kabisa, sema wanaona aibu tu kulitangaza...
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Gwanda limekaa ki communist zaidi
  Halifai
   
Loading...